Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
ZAIDI YA BIL 18.25 ZIMETUMIKA KWA MADIWANI & WABUNGE KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS KWA KUJIUZULU
Na,
Alloyce Nyanda
Wapendwa amani iwe kwenu nyote, Nikiwa naendelea kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa leo hii , Naendelea kusherehekea kwa upendo wa kuambizana ukweli usio na mashaka ,
Naomba Tufahamu Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi kigumu kuliko Muda wote ambao mimi nimepata ufahamu wangu timamu na kufuatilia Mwenendo wa Nchi , Nimeshudi awamu tatu ukiacha ile ya Mwl JK & Mzee Mwinyi kamwe sijawahi kuona ama kusikia diwani ama mbunge ameunga mkono juhudi za Rais wa Nchi kwa kumtia hasara huyohuyo Rais
Mzee Mkapa Mwaka 1995 alichuana vikali na Mzee Augusto Mrema ambapo NCCR ilipata wabunge 28 akiwemo Mtoto Wa Rais Wa Kwanza Mwl Julius kaka yangu Makongoro Nyerere pale Arusha Mjini wengine ninaowakumbuka ni Dr.Lamwai-Ubungo, Mabere Marando-Rorya, Paulo Ndohbo-Musoma vijijini, Mbunge-Arumeru mashariki , James Mbatia-Vunjo,Makidara Mosi-Siha, Mwinyihamis-Hai, Gerard Ngotolainyo-Moshi vijijini, Joseph Mtui-Moshi mjini Jacob Msina-Urambo, M.Kibaso-Iringa mjini M.mwaiseje-Mbeya Mjini ,Ndimara T.-Muleba-Kas,Huku CHADEMA ikipata wabunge 4 na madiwani 42 achilia mbali wale Wa CUF na vyama vingine .Siasa ilikuwa inapigwa kwa kiwango cha kutisha na siasa hesabu zilikuwa kali, Demokrasia ilikuwa katika kiwango chake cha juu mno
Wanasiasa hawa pamoja na Mzee Mkapa kufanya vizuri sana hakuwepo hata mwenyekiti Wa Mtaa aliyejiuzulu kwa kumuunga mkono bali wote kwa pamoja walielekeza nguvu katika kuwatumikia Wananchi tu huku wakiamini njia pekee ya kuwatoa CCM Madarakani ni wao kuchapa kazi katika maeneo yao , mawazo ya kuhama eti kumuunga mkono Rias wala haikuwa agenda yao bali kuchapa kazi kushindana na Rais katika kuchapa kazi kwa maendeleo ya wananchi ,Hebu tujikumbushe y Baadhi ya mambo aliyofanya Rais Mkapa
[emoji420] Daraja la Mkapa
[emoji420] Uwanja wa Taifa –Ambapo yanga wamepokea kipigo cha mbwa mwizi huku simba tukiwanyoosha waarabu kwa droo ya mabao yaliyofungwa kwa kiwango cha kutisha, eeeh Mstaafu Rais Mkapa asante sana...
[emoji420] Shule za kata nchi nzima
[emoji420]Maji Shinyanga& Kahama toka ziwa Victoria
[emoji420] Barabara za lami nchi nzima, Mwasisis wake ni Rais Ben –kisha JK
[emoji420] Kuimarika kwa Uchumi
[emoji420]Mfumuko wa bei ukashuka
[emoji420] Deni la Taifa kufikia trl 7.2 hadi kufutiwa baadhi ya madeni makubwa ndio katika kipindi cha Mkapa deni la Taifa lilikuwa chini kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
Ingekuwa ngumu sana kwa Mkapa eti kutumia Tzs Bill 18.25 kwa watu Wenye njaa kumuunga mkono yeye badala ya kumuunga mkono kwa kujenga Shule na Zahanati kama alivyotamani siku zote.
Tujikumbushe pia ya Mzee Kikwete kwani nayeye pia hakuna hata mwenyekiti Wa kijiji aliyejiuzulu ili kumuunga mkono kwa kumtia hasara yeye na
[emoji420]Ujenzi wa mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gesi(Kinyerezi)
[emoji420] Kukamilisha baadhi ya miradi mikubwa ya barabara na madaraja iliyoanzishwa kwenye awamu ya tatu
[emoji420] Ujenzi Wa viwanja vya Ndege vya Bukoba,Kigoma ,Tabora,JKNIA,Mtwara,Dodoma
[emoji420] Kukuza demokrasia
[emoji420] Uhuru wa habari –Hapa wanahabari Tulikuwa tunaibua madudu acha kabisa
[emoji420] Ujenzi Wa UDOM
[emoji420] Ununuzi Wa UDART
[emoji420] Ujenzi Wa Chimwaga Hole
[emoji420] Kukua kwa uchumi
[emoji420]Bomba la gesi Mtwara-Dar
[emoji420] Kuimarika kwa Usalama-Na Kikwete Alikuwa hana utani kabisa na mawaziri waliotishia uhai wa watu, Mtakumbuka wakina Nchimbi, Kakajeshiki walinyoka walipoleta utani na maisha ya watu kwenye operations Tokomeza
[emoji420] Kukuza furaha & Upendo
[emoji420] Deni la Taifa trl 38.2
[emoji420]Daraja la Kikwete - Kigamboni
Nadhani bwana huyu ndiye angeweza kuungwa mkono na wanasiasa njaa wengi pengine kuliko yeyote lakini hakuungwa mkono hata na balozi Wa nyumba kumi Wa CHADEMA ,Kikwete alijua shida sio Upinzania shida ni maendeleo ya watu tuu.
Kwa mujibu Wa Taarifa CHADEMA pekee mpaka sasa imepoteza madiwani 65 ambao uchaguzi wao umeshafanyika na kwa mujibu Wa Mwenyekiti Wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe gharama za uchaguzi Wa diwani ni mil 250,000,000 huku zile za Ubunge ni billion 1 , Sasa Ukifanya hesabu kwa wale waliomuunga mkono Raisi ni Madiwani 65 & Wabunge 2 waliotufanya tutumie zaidi ya Billion 36,500,000,000 kwa uchaguzi mkuu na huu Wa marudio huku kata zingine bado nazo zikisubiri uchaguzi ambazo zitatumia kodi zetu sisi walala hoi Wa Mwanza ,Iringa,Mbeya,Manyara ili kumfurahisha Rais kwa utendaji kazi wake mzuri kwa awamu hii ya tano inayoacha alama ya maumivu kwa Watanzania.
Binafsi nakataa hatuwezi kutumia zaidi ya bill 18,250,000,000 ili kumfurahisha Rais bali tujenge shule na Zahati ili kumfurahisa Raisi.Namfahamu Rais wangu kamwe hafurahii haya kwani yanamchonganisha na Wananchi japo najua baadhi ya viongozi Wa CCM wananufaika sana na kadhia hii., Namfahamu Rais wangu John Pombe Magufuli atakauwa ajapigiwa hesabu hizi, nadhani Tume haijampelekeea Hesabu hizi, Nafahamu siku akipewa hizi Hesabu, akajua kuwa wamemtia hasara hivi basi Tume yote itafukuzwa mara moja Rais hapendi utani utani haswa kuchezea fedha za Wananchi, Siku Akijua kuwa hawa wanao muunga mkono wanamtia hasara basi wataisoma namba vizuri mno
Cc
Polepole Humphrey
James Kheri
Job Lusinde
Alexander Mnyeti
Mrisho Gambo
Mwigulu nchemba