Recent content by kituli one

  1. kituli one

    Kuhusu uhamisho kwa mtumishi wa mkataba

    Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
  2. kituli one

    Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Nashindwa kuelewa,Igunga hii ya Tabora au kuna kitongoji kinaitwa Igunga huko Rungwe?Maana hizi wilaya hazipakani kabisa.
  3. kituli one

    Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Dah! Mkurugenzi wangu wa zamani wa wilaya ya Mbozi,kutu hula chuma aisee
  4. kituli one

    Malipo ya ving'amuzi yana ada kwa njia ya simu?

    Natumia Airtel money kulipia king'amuzi cha Azam, hakuna makato ya ziada.
  5. kituli one

    Anayeifahamu hospitali ya Wilaya Morogoro Vijijini

    Ipo Mvuha, usafiri kwa njia ya treni zaTazara unafika,na hata kwa barabara haswa hiki kiangazi ni uhakika,ni pazuri, maisha rahisi, biashara ya kilimo haswa mpunga na mbogamboga na matunda ndo penye
  6. kituli one

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nahitaji Xiaomi redmi note 9S,nipo Morogoro,kwa anayejua sehemu zinakouzwa naomba kuelekezwa
  7. kituli one

    Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

    Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
  8. kituli one

    Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

    Ajali ya basi la Kyela express hujaisikia leo??
  9. kituli one

    Uhaba wa Petrol na Diesel wilayani Kwimba kulikoni?

    Huko MOIL si ndo alikua mbunge wenu? Na anafanya biashara ya mafuta, mwambieni awaletee
  10. kituli one

    Mpaka kati ya Tanzania na Zambia (Nakonde) wafunguliwa

    Mpaka umefunguliwa kwa baadhi ya huduma kupita,kwa sasa mpaka utahudumia magari yaliyobeba bidhaa za mafuta,chakula pamoja na dawa na vifaa tiba tu,hii ni kwa mujibu wa idara ya forodha ya Zambia
  11. kituli one

    Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

    Nitashukuru kama ntapata jina na mawasiliano ya lodge husika nifanye booking mapema
  12. kituli one

    Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

    Wakuu salama, Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali. Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
  13. kituli one

    Natafuta lodge jirani na Kisenga LAPF conference centre

    Wakuu habarini,jumatatu ntakua Dar kuna semina ntafanyia ukumbi tajwa hapo juu,nina mtoto mchanga ninaomba msaada wa kuelekezwa lodge nzuri iliyo jirani na Kisenga na yenye bei nzuri ili nifanye booking mapema. Budget yangu ni sh.elfu 20000 hadi elfu 30000.Ahsanteni sana.
Back
Top Bottom