nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,541
- 8,272
Habari zenu wandugu. Samahani nilikua nataka kufahamu kama kuna utaratibu mpya wa kulipia ving'amuzi kwa njia ya mitandao ya simu.
Nilizoea kuweka kiasi cha hela kinachoendana na kifurushi cha dstv ninachokitaka. Leo nimeweka sh 20,000 kwenye account yangu ya mpesa nataka kulipia dstv kifurushi cha bomba, nashangaa naambiwa kiasi che hela hakitoshi kukamilisha muamala.
Je, hili ni tatizo langu peke yangu au ni kwa wote?
Natanguliza shukrani