Recent content by KITU KIPYA KABISA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

    Uthibitisho gani unauhitaji wewe? "Yule bwana" jana kakiri kuwa alivamia na clip za video zimeonyesha kuwa kavamia,wewe unataka nini tena? Ruge aende Polisi akamshitaki nani kwa nani? Hivi kwa akili ya kawaida tu,unaweza kumshitaki mtu kwa kosa la kuvamia ilihali wenye mamlaka wanajua kuwa ana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Tutafika huko anakotuelekeza huyu Msukuma
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke mmoja tu, hatoshi

    Chukueni ujumbe muufanyie kazi Acheni majungu Mbona tunapoteza muda mwingi kumjadili Bashite...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kuzaliwa (birthday) tunaiga Wazungu au ni utaratibu uliokuwepo?

    Umefikiri vyema kabisa ndugu Wanaiga wazungu tu, haina maana yoyote kwao
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    hahahahaaaa tuko bize na kina Lisu na Lema wacha tuendelee kuwa bize,muda utaamua
  6. K

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mnazungumziaje kibarua chetu huko Algers
  7. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread kwa uchaguzi mkuu ujao 2020.

    hakuna haja ya kuzungumzia uchaguzi wa 2020 uchaguzi wa mwaka huo bunge zima litakuwa CCM tupu watahakikisha hakuna anayeshinda kwa namna yoyote ile. cha kufanya ni kujaribu kuwaelimisha wabunge wa CCM wakubali kututetea kwenye bunge hili lianaloendelea
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anayewachukia Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar afikirie mara mbili

    Anayewapenda na kuwasapoti afikirie Mara sabini
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu watekaji wanayotumia kukunyamazisha

    kama ametendwa unyama huo aeleze tu ili kuwaumbua hao watekaji. hawawezi kumteka tena mara ya pili cha muhimu kukijua ni kwamba kama watekaji walipanga kukuua basi ni lazima wakuue na kama watekaji wamepanga kukutesa tu,basi watakutesa halafu watakurelease au wakupoteze kama Ben Saanane Roma...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu watekaji wanayotumia kukunyamazisha

    na yule alinyooshewa bastola? Je aliwaandaa wale vijana ili ijipandishe au...? tumia akili
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge mnasubiri nini kufanya kile wananchi tulichowatuma?

    Bunge la Tanzania linaweza kupitisha azimio la kumtoa Rais madarakani kwa mujibu wa Ibara ya 46A ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa kufuata utaratibu ufuatao; 1. Rais lazima awe ametenda kati ya yafuatayo; A. Ametenda mambo ambayo yanavunja Katiba au sheria ya maadili ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pay stubs za mshahara wa Rais

    April fool mwaka Jana alipiga simu clouds akasema tunamlipa mil.9 na point kidogo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Mitandao na Watanzania tumelishwa tango pori kuhusu mtoaji Bastola kwa Nape pale Protea

    OK ni sawa Mange amesema uongo haya wewe tueleze ukweli ulionao jamaa kachukuliwa hatua gani za kinidhamu? mliojitolea kumtetea Bashite mtateseka sana kufukia ukweli wa ukilaza wake maana matendo yake ya kila siku yanadhihirisha kuwa Bashite ni kilaza, hana uwezo hata kidogo kwenye bongo yake
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kuchunguza suala la Makonda vs kamati ya Mwakyembe sakata la Richmond

    kuna watu wengine hata mkipimwa ni bure tu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Masaa 24 yajayo Vigogo wengine watatu kung'oka CCM

    Watu weeeeeweeeeeeeee
Back
Top Bottom