Recent content by kitororondo

  1. kitororondo

    Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    hata mimi kiukweli katuni napenda mpaka wife huwa ananishangaa na sioni tatizo na haina madhara
  2. kitororondo

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Hahahahaha nimecheka kama mazuri hivi ila mi wangu anamiezi 11 na anafanana na watoto wa jamaa alifikia wife wakati anakuja town kwa ajili ya maandalizi ya ndoa but navunga nalo tu nangoja akue kue ukweli utabainika but now naguhumia ndani kwa ndani
  3. kitororondo

    Ulishawahi kuona malaika?

    Malaika ni mdogo baada ya Mungu ni binadamu kisha malaika then shetani Malaika wapo kumtumikia Mungu na sisi Nikitulia nitakuonyesha maandiko ndani ya biblia 4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? 5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na...
  4. kitororondo

    Ulishawahi kuona malaika?

    Hahahaha baada ya kusoma ule Uzi Wa Jamaa anazungumzia Mungu Wa walokole akagusia habari za malaika Ili nipa hamasa sana ya kutaka kuona malaika Sasa wakati nipo kwenye maombi ya jioni siku ya alhamisi wakati nimezama kwenye maombi ile story ya Jamaa ikanijia kichwani Nikaona hapa hapa kwenye...
  5. kitororondo

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Hahahahaha kwa mbali kama kweli hivi Ila kadri unavyotazama Kwa ukaribu unagundua ni ukweli mtupu
  6. kitororondo

    Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

    Ni kwakuwa taarifa za wanaochomwa na kupona haziripotiwi ila wanaopona ni wengi kuliko wanaokufa
  7. kitororondo

    Jinsi mikopo ya kausha damu inavyochochea ngono zembe

    Ila hata hao vicoba wanaliwa sana kitaa Nina shuhuda za kutosha hata 3000/2000
  8. kitororondo

    Naomba Mungu sana niache pombe

    Mcheki huyu ana Neema ya ajabu ya kukomesha uraibu wa aina yeyote. Iwe pombe,sigara,kujichua,bangi,nk na Hata kama unatabia usizozitaka hapo ndio mwisho Nimeshuhudia wengi wakifunguliwa kutoka katika tabu hizo Haihitajiki hata mia yako ni wewe tu na nia yako ya kutoka hapo
  9. kitororondo

    Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

    Mbona tuna mikesha mkuu tena inavibe kuliko hayo uliyoyainisha hapo maana yanachosha nafsi na roho
  10. kitororondo

    Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Naona kaangalia video aliyo post bongozozo then kaja kufungua jalada huku ndio maana mada yake haina shibe
  11. kitororondo

    Nini dawa ya uume kusimama kwa mda mrefu

    Mimi nilipata changamoto ya kusimamisha hovyo bila sababu za msingi Ila nikagundua shida ni karanga ninazopenda kula nikaacha Ambalo bado linanitesa yaan nikipiga bao la kwanza naonganisha nipate walau la pili ila ndio sipati huwa naamuamua kuacha kwakuwa wife anakuwa ameshatisheka Ila...
Back
Top Bottom