dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,681
- 18,588
Chukuwa maji ya baridi shikiza kwenye uume
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
Yote kwa pamoja kama umemsoma vizuri,Kwani amesema anachelewa kumwaga au anasimamisha kwa muda mrefu?
Ok SawaYote kwa pamoja kama umemsoma vizuri,
Amini nakwambia hiyo ni (d.e) I've experienced before
Pamoja sanaUmenifanya nimerudi kusoma uzi upya.
Ni kweli kumbe nilielewa vibaya.
Mimi nikielewa kwamba anataka dawa awe anasimamisha mda mrefu, kumbe badala yake ni kinyume chake
Mimi nilipata changamoto ya kusimamisha hovyo bila sababu za msingiNina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane