Wale ma porter hadithi nyingine kabisa wenyewe wanapenda uwaite Wagumu si mchezo jamaa wako fit. Duuu jiwe la kubusu pale unaenda na zote 4 unakwea kama tumbili.
Hebu tafakari halafu sema we ulitakaje yaani kama ungekuwa wewe Mwl Nyerere ungefanyaje kuhakikisha kizazi chako hakiishi kwa shida baada ya kifo chako. Kama utakuwa mkweli utakuta mawazo yako ni muflisi kabisa unatilisha huruma kabisa!!!!
Mkuu mi nilijaribu mwaka jana nikaishia barafu kwa kupitia Machame mwaka huu nataka kukata rufaa nitakutafuta tuone tunafanyaje. Ila nakubaliana nawe ni bonge la adventure tamu sana
Wacha uwongo wewe Ulaya gani umayosema wewe mtu kipato cha kawaida aende mbali na familia yake akae Siku 28!!!! Hakuna kitu kama hicho. Hebu tuache ujinga anachosema Magu sawa kabisa mahakama ilikuwa pango la rushwa na bado iko hivyo.
Nimependa sana huu uzi na ukitaka kuona Mwafrika ana akili ndogo suala kama hili haoni kama ni muhimu sio tu ana akili ndogo lakini Mwafrika mvivu sana kufikiri jambo ngumu linalotaka kupembua kwa kina halitaki na atalibeza na kuleta majibu mepesi. Waafrika tuna matatizo sana!!! Matatizo yetu...
Wacha uwoga wewe!!!! Lazima tuwe smart sawa!!! Lakini sio waoga, kama kuna wizi au dhuluma hao wageni walitufanyia kwa mfano huko kwenye madini na mali asili na utalii wacha tuweke mambo sawa kwa faida ya kesho. Kama itabidi tulipe kwa uchumi kuyumba tuwe tayari kukabiliana na hilo mwisho wa...
Wakuu nimeona huu walaka kwenye tovuti ya BBC ikanifanya nijiulize kidogo. Hivyo sisi Waafrika tunajitambuaje au tunajitambulishaje. Soma hii nakala uone jinsi wenzetu wa Kameruni wanavyo uana kwa kutumia utambulisho ya mabaki ya Ukoloni. Bahati mbaya nakala yenyewe iko kwa Kiingereza...
Hii nchi ya Tanzania basi tu tunainyea sisi vijana wa leo lakini ni nchi yenye heshima kubwa sana duniani kihistoria haswa linapokuja swali la ukombozi na harakati za mapinduzi Afrika na duniani kote. Tuombee iwe kuwa tumepita kwenye kipindi cha mpito na kwamba tutarudi tena katika hali yetu...
Hapa ndio matatizo yetu: Mi nilidhani utazungumzia huyo Adam alistahili kuteuliwa tena kwenye uongozi?! Adam Ana kashfa kashfa yule inakuwaje kumrudisha tena maana Leo mkuu wa mkoa kesho waziri. Hapa ndio siielewi serikali ya awamu ya 5 ingawa mimi ni mshabiki wa serikali hii. Kuna kachembe ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.