Recent content by kitimotoharamu

  1. K

    Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Ilo nalo neno aise...hahahaha. Wengine sasa iv wapo dubai wengine China af sisi tunawadiscus, kwel pesa raha
  2. K

    Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Hahahaha....nmejkuta nacheka mwenyewe, mkuu ni kukomaa tu...ukiwa strategic mbona utatoka
  3. K

    Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    10. Otonde Group...hawa jamaa nao wanakuja juu sana. Ni wakandarasi pia huuza hardware mitaa ya Rwagasore
  4. K

    Wapi nitapata betri ya Laptop Mwanza?

    Unaweza jaribu pia Otonde Electronics pale Lumumba wana mabegi mazuri sana mkuu.
  5. K

    Kasi ya Rais Magufuli: Nyumba iliyozuia mradi mkubwa wa Maji Dar yabomolewa

    Kweli kabisa mkuu...Hata Bade wa TRA kuna watu wanasema kaonewa angepewa mda...sasa mda gani wakati makontena yanayeyuka bandarini kila siku...Mwakyembe aliunda tume majbu hatukupata. Hapa ni kuchukua maamuzi hapo hapo
  6. K

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Hata mimi nimewashangaa baadhi ya watu.....kwanza kwa organisation kama ile yawezekana ile ni gari ya kazini kwani siyo lazima iwe na no za DFP...Ila hata kama n yake me sion ajabu V8 hata 100m unapata kwa sasa. Kweli yule mama ashindwe kuimiki V8 akipenda? Ikumbukwe pia ye hutetea matumizi...
  7. K

    GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Jamani Rorya kwa Lameck Airo mwenye matokeo please. Kulikuwa na jembe la UKAWA anaitwa Owawa alkuwa anamperekesha balaa sidhani kama atapona. Pipooooooooz
  8. K

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Duh!!! Watu wana machungu na hili lijamaa aise.
  9. K

    Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

    Hivi mgombea ubunge Itilima ndo yule Magile aliyeacha kazi TBA-Mwanza au? Alafu nahisi kama alishika no mbili kwenye kura za maoni akapitishwa na maamuzi ya juu....mwenye taarifa za uhakika please
  10. K

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Mmmmh...mwenzangu cjui kama unaelewa maana ya liability. Nina uhakika wengi wanaomshabikia Edo humu JF walifurahi sana alivyokatwa CCM ila alvyokuja UKAWA tukaanza kumuunga mkono kwa sababu nia ni mabadiliko. Sasa cjui hao ni liability au assets.
  11. K

    Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Paaaaaaaaaaa....banzi la shavu hilo. Hamka habari ni ukweli mtupu. Inasikitisha lakn
  12. K

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Huwa sipendi kucoment matusi ila umemkomesha kaka....nakupa big up sana....huwezi mdhihaki Mungu kisa unajiona una afya nzuri. Hujafa hujaumbika. Wasije shangaa huyo EL wanayesema mgonjwa wakamtangulia mbele ya haki.
  13. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ipo kwa wallet....yaani kila nikitoa kitu toka kwenye wallet lazima niichungulie kucheki kama ipo salama. Nina machungu na hawa watu baba yanguuuuu!!!!! Ntapanga foleni hata mvua ya mawe inyeshe cku hyo lakini lazima nishiriki katika kuyachinja.....
  14. K

    Korea Kaskazini yaufyata mkia kwa Korea Kusini

    Hahahahaha....eti Kim Kardashian
  15. K

    Unafiki wa viongozi wa CHADEMA huu hapa

    No. 4 umekosea sana mkuu....hufaja hujaumbika. Mungu hadhihakiwi, Komba alisema Warioba anakaribia kufa ila mwishowe akatangulia yeye so usisema jamaa mgonjwa so hapaswi kuchaguliwa unaweza shangaa akapona (kama mgonjwa kwel) na akaendelea kuwatumikia watanzania kwa mafanikio endapo...
Back
Top Bottom