Nimemuona mzee wa kukata utepe anongea na mapovu yanamtoka, yaani wanatia huruma ila kichapo kipo palepale.
Nimemuona mzee wa kukata utepe anongea na mapovu yanamtoka, yaani wanatia huruma ila kichapo kipo palepale.
Angesema asilimia 100 kabisa ili manyumbu mjipe kick za mwisho. Ila huyo fisadi hapati hata asilimia 10.
Pete yake ya kichawi inawavuta mazuzu kwenye mikutano lakini haina nguvu juu ya masanduku ya kura
Ni kauli za kisiasa...hakuna chama kitashinda zaidi ya asilimia 60 kusipokuwa na uchakachuaji!Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Na ukawa hawaongeagi bila data. Ikulu ileee
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Lowassa Itilima kaambiwa atapata kura lakini mgombea wa Chadema hawampi kura
Lowassa Itilima kaambiwa atapata kura lakini mgombea wa Chadema hawampi kura
Hivi ndugu, hizo milioni 398 Si zingeweza kusaidia hata kule hospitalini maana madawa hamna na mambo ya msingi watu wanayakosa huduma za kijamii.
Hivi tujiulize hao wanaopata hapo milioni100, wengine 21 ni kutokana kwa kipi haswa walichokifanya mpana wapaye pesa zote hizo?? Haya ni matumizi mabaya ya pesa zetu sisi wananchi.. mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko Mungu aisaidie nchi yetu.
Alikopata hiyo pete mlikuwa wote eti !!???
Tatizo tume si huru na hasa ofisi za wakurugenzi wa halmashauri za miji na walaya. Lowassa angeshinda mbali sana
Hivi mgombea ubunge Itilima ndo yule Magile aliyeacha kazi TBA-Mwanza au? Alafu nahisi kama alishika no mbili kwenye kura za maoni akapitishwa na maamuzi ya juu....mwenye taarifa za uhakika please
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Mbona ndogo sana? 82% tu?