Recent content by Kiti Chema

 1. Kiti Chema

  Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( Heavy duty heat press machin)

  Mkuu asante nimeiona vizuri, naomba nikuulize kitu, mimi ni mtumiaji wa Hits printing, Epson zote na Noritsu Qs3011, Je hiyo machine uloweka inaweza chukua nda gani kujifunza mpaka kuielewa, Nilihitaji kama nikifanikiwa kupata vihera basi kabla ya mwaka kuisha huduma hii niwasogezee wakazi wa...
 2. Kiti Chema

  Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

  Ule usemi kuwa mwenye nacho ataongezewa hatimaye nimeuona ukitimia ndani ya hizi siku mbili zilizo fatana, kweli Bible huwa haisemi uongo
 3. Kiti Chema

  Aliyezuia mechi ya Simba na Yanga kuchezwa awajibike mwenyewe!

  Hahaha,mkuu karibu Kigoma kwenye kilimo cha Vanilla ndiyo dili kwa sasa zaidi ya madini, mapori yapo ya kutosha
 4. Kiti Chema

  Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

  Kwani kutoka Bongo mpaka USA nauli ni kiasi gani
 5. Kiti Chema

  Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

  Kutoka mwisho wa reli kwa Treni mpaka Dar harafu mechi iahirishwe kizembe aisee FIFA fanyeni kazi yenu, viingilio vyetu bado gharama za kutoka huko Kigoma mpaka huku, si hivyo tu gest zimejaa hakuna pa kulala
 6. Kiti Chema

  Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

  Nimetoka Kigoma kwa Treni harafu mchezo uahirishwe kizembe, hawajatenda haki, na viingilio vyetu sijui itakuwaje
 7. Kiti Chema

  Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

  Hapa sijui pa kulala jiji hili, nimetoka Kigoma kwa Treni leo hii mechi imeahirishwa ? Sijui kiingilio changu ningetoa kama sadaka basi ningepata swawabu ,😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 8. Kiti Chema

  Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

  Chonde chote, jirani yake nakuomba nikuagize unitafutie namba za hako kabinti ka familly ya Bwana harusi, Huenda nikabahatika na mimi tukazaa watoto machotara
 9. Kiti Chema

  Yanga SC wanastahili kupata ushindi wa mezani kwa huu ujinga wa TFF.

  Sasa viingilio vyetu itakuwaje,Naomba FIFA walitazame hili na watoe adhabu kwa wahusika
 10. Kiti Chema

  Umeicheki IRIS? Hizi ni facts 10 usizozijua kuhusu series hiyo

  Movie ya Jumong mbona ndiyo movie ambayo nasikia inaongoza kwa mauzo
 11. Kiti Chema

  Tafaadhali, Nicheck ukihitaji huduma ya muundo wa picture (Graphic Design), Video Lyrics/spectrum na Subtitles

  Na mimi je ambaye tayari nina Idea, nitapana nafasi ya kujifunza zaidi kwa kiasi gani cha hera ya vocha
 12. Kiti Chema

  Kilimo cha Vanilla kingekuwa rahisi namna hii, hakuna mkulima angekuwa maskini

  Kwa sasa mbengu za vanilla zinapatikana Ngara kwa sana
 13. Kiti Chema

  Kilimo cha Vanilla kingekuwa rahisi namna hii, hakuna mkulima angekuwa maskini

  Kagera,kigoma nyanda za juu, kilimanjaro, mbeya, na maeneo mengine
Top Bottom