Ebo! Ina mana bikra ndo I Naendelea kupandishwa bei kipindi hiki cha vita UKRAINE sindo ndio!?
 
Habari zenu

Hii ni makadilio ya wote wawili msichana awe bikra na mvulana awe hajawahi kufanya tendo kama haujabahatika wewe tengeneza kizazi chako

Kwanza “ mnakutana hamjui chochote ninyi wenyewe ndio mtaanzana na mtafundishana jinsi gani? Ya kufanya tendo mpaka mtazoeana.

Pili” hakuna atakaye kuwa na wasi wasi wa maumbile ya mwenzake na kuto kulalamika et? Ni makubwa sana au yamepinda au madogo sana mtakuwa mmeanzana na kuonana wenyewe Ina maana mtakubaliana mlivyo na mtaishi bila ugomvi wowote ule wa kuwa na wasi wasi wa kimaumbile na mwenzako.

Tatu” mtajitahidi kutunza tabia za watoto wenu na wao wapate kuolewa au kuoa kabla hawajaanza michezo yeyote michafu..

Kama haujabahatika mtengenezee mwanao tabia njema..
 
Ingekua kuna alama ya mdada bikra na ambaye siyo bikra,Unadhani nani angekua na soko la kuolewa?
Usiri wa kutokujua nani bikra na nani si bikra,nadhani ndomaana waliokwisha kufanya wanachumbiwa au kuolewa.
 
Kuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? Jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.
Hujaelewa mada ndugu
 
Habari zenu

Hii ni makadilio ya wote wawili msichana awe bikra na mvulana awe hajawahi kufanya tendo kama haujabahatika wewe tengeneza kizazi chako

Kwanza “ mnakutana hamjui chochote ninyi wenyewe ndio mtaanzana na mtafundishana jinsi gani? Ya kufanya tendo mpaka mtazoeana.

Pili” hakuna atakaye kuwa na wasi wasi wa maumbile ya mwenzake na kuto kulalamika et? Ni makubwa sana au yamepinda au madogo sana mtakuwa mmeanzana na kuonana wenyewe Ina maana mtakubaliana mlivyo na mtaishi bila ugomvi wowote ule wa kuwa na wasi wasi wa kimaumbile na mwenzako.

Tatu” mtajitahidi kutunza tabia za watoto wenu na wao wapate kuolewa au kuoa kabla hawajaanza michezo yeyote michafu..

Kama haujabahatika mtengenezee mwanao tabia njema..
Mwanamume anapaswa kujizuia mpaka ndoa, lakini si sawa kumlinganisha na mwanamke. Binti anahesabiwa kuharibika pale tu anapotolewa bikra, huo ndio ukweli. Achana na mtazamo wa kizazi kipya kuwa binti akiwa nje ya ndoa ndio tatizo, kufungulia mapenzi tu kwa kugawa mwili ndio tatizo kuu kwa binti.

Kijana malaya na binti kahaba ni yupi kati yao akiamua kuwa na ndoa hatopata taabu? Kuhusu kufundishana mapenzi, mwanamke ndiye victim kwa sababu hata hizo style zote wazifanyazo wanaume ni kwa sababu ya kumridhisha mwanamke. Mwanamume kiasili anataka tu sehemu ya kuingiza ili akajoe na atafanya hivyo hata kama amelala na kichaa. Mwanamke kwa upande wake anahitaji kuamshwa hisia ili afurahie ngono. Ndio maana hakuna kesi za mwanamume kubakwa kwani kiuhalisia dyudyu linainuka kwa hisia tu za moyoni, sasa unawezaje kumbaka mwanamume ambaye akiwa hana utayari wa kusex dyudyu lake halisimami?

Kwa nini nasema hivi? Mwanamume hatekwi na style za mapenzi bali mwanamke. Ndipo inapokuja hoja ya ubikira wake. Akipata ujuzi wa mapenzi kabla ya ndoa akajifunza miondoko mbalimbali ni vigumu sana kwa mwanamume mmoja kumkatia kiu yake. Atatamani style tofauti za wapenzi wake na hivyo ana nafasi kubwa ya kutotulia.
 
Mkuu Nyenyere umeniongezea kitu akilini mwangu kwa jibu lako. Ndio maana kwa hali ya ubikira (kutowahi kushiriki ngono) kwa mwanamke amewekewa uthibitisho (kijinyama/kijiutando ndani ya uke) tofauti na mwanaume.

Nimekupata vyema.
 
Nilikua natoa ushauri kama kuna mtu kaolewa bila bikra leo amuulize mumewe kua ety ulivonikuta bila bikra umejiskiaje @TUJIKUMBUSHE YALIYOJILI 2018 😆😆😆........Nakuahidi dada angu mumeo atakupa hela zake zote joka jeusi anajua kuna jirani yake alipewa si ndio mkuu @@@Wakuupiga mwingi wataamka tena
 
Mwanamume anapaswa kujizuia mpaka ndoa, lakini si sawa kumlinganisha na mwanamke. Binti anahesabiwa kuharibika pale tu anapotolewa bikra, huo ndio ukweli. Achana na mtazamo wa kizazi kipya kuwa binti akiwa nje ya ndoa ndio tatizo, kufungulia mapenzi tu kwa kugawa mwili ndio tatizo kuu kwa binti.

Kijana malaya na binti kahaba ni yupi kati yao akiamua kuwa na ndoa hatopata taabu? Kuhusu kufundishana mapenzi, mwanamke ndiye victim kwa sababu hata hizo style zote wazifanyazo wanaume ni kwa sababu ya kumridhisha mwanamke. Mwanamume kiasili anataka tu sehemu ya kuingiza ili akajoe na atafanya hivyo hata kama amelala na kichaa. Mwanamke kwa upande wake anahitaji kuamshwa hisia ili afurahie ngono. Ndio maana hakuna kesi za mwanamume kubakwa kwani kiuhalisia dyudyu linainuka kwa hisia tu za moyoni, sasa unawezaje kumbaka mwanamume ambaye akiwa hana utayari wa kusex dyudyu lake halisimami?

Kwa nini nasema hivi? Mwanamume hatekwi na style za mapenzi bali mwanamke. Ndipo inapokuja hoja ya ubikira wake. Akipata ujuzi wa mapenzi kabla ya ndoa akajifunza miondoko mbalimbali ni vigumu sana kwa mwanamume mmoja kumkatia kiu yake. Atatamani style tofauti za wapenzi wake na hivyo ana nafasi kubwa ya kutotulia.
Wadada wanajua huo ukweli,ila wanaficha.Mwanamke aliyechezea kila aina ya staili,nyeti,n.k,kumpata mume ambaye ni multi-player,yaani anaweza kila staili,ana nyeti ya saizi zote,mrefu,mfupi,mnene,mwrmbamba,na akatulia,haiwezekani.
 
Me naomba niulize tu kwa waliowahi kutoa bikra, hivi ushawahi kula demu ambaye pengineanajinasibu kuwa yeye ni bikra , ila damu hazikutoka unaposex naye kwa mara ya kwanza lakini uchi ukawa umebana,
 
Back
Top Bottom