Recent content by KITENGE KOFIA

  1. K

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    mwajiliwa?? Doooooo hatari kabisa...umeweka alama ya ulizo mahali pasipokuwa na uhitaji...doooooo
  2. K

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    Mpaka leo tar4 hatuoni mishahara,,mmeipeleka wap nyie watu?.....kweli watanzania kaz tunayo
  3. K

    CHADEMA: Tumeshinda

    Kiukweli pamoja na vurugu na hongo zilizofanywa na ccm,,kwa mazingira hayo magumu chadema imeweza kukua
  4. K

    Lowasa na ugawaji wa mbuzi wa maziwa Bangata Arusha

    Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi utaenda wapi.....vp naigeria huendi,prophet tb joshua alijua ulikuwa unataka kumtumia..akakupiga chini
  5. K

    Chadema kuweni makini kwa hili

    Ccm wamekuwa wazurri sana na kucheza na matukio,ni lazima mtengeneze think tank ya chama,kazi yao iwe kufikiri tu,yafuatayo ni baathi ya matukio ambayo ccm wamecheza nayo ili kutuondoa kwenye mada:- 1.wakati wa vuguvugu la katiba serekali ya ccm ilikuwa ipoteze uhalali wa kuongoza nnchi ndipo...
  6. K

    Ccm kuingia Arusha muda si mrefu

    Kwa sasa tunajishuhulisha na ujenzi wa jiwe la msingi karibu na jengo jipya la nssf pale roundabout,,,,,karibu ccm karibu kikwete
  7. K

    Ccm kuingia Arusha muda si mrefu

    Habari zilizopo ndani ya CCM Arusha zinadai kuwa muda si mrefu CCM ikiongozwa na mwenyekiti wao watatumia mwanya wa kufanya sherehe kwa mji wa Arusha kuwa jiji na kukabiziwa barabara kama njia ya kuwavutia wenyeji wa Arusha. Inasemekana kuwa siku hiyo kutachinjwa ng'ombe wa kutosha mnajua...
  8. K

    MUAFRIKA anapojivua UAFRIKA wake kwa sababu ya dini

    Shenz kabisa,,pumbavu,,,,,,,,,,,,,,,,,,wajinga wanatubagua halafu na sisi kwa ushenz wetu tunauana,sisi waafrika tuna shida gani?
  9. K

    OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    Mimi siamin hiyo oic ikiingia tutabaki salama sisi kama watanzania..je ile issue ya akia ponda nn kingetokea kama wangekuwepo na maazimio yao hapo..kama dini zinatusababisha tugombane/tuuwane.tupa kule tanzania isonge mbele
  10. K

    Ni nchi gani za kiarabu zinasaidia bajeti za nchi masikini

    Wanafazil ugaid,,,,kuua ndugu zao wenyewe
  11. K

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    hutaki huo ndo ukwel kafanye tafit...kinachofanya hao wanafunz washindwe sio uislum wao.ila wanakosa exposure kwa watu wanaowazunguka mfano hapa nilipopangisha kuna dada wa kiislum anamtoto mkubwa tu,badala kumpeleka mtoto kwenye shule za awali yeye ni kumnuulia kanzu na kumpeleka madrasa,,je...
  12. K

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Asante kwa mada ndugu yangu mtoi,kiukweli ndugu zetu waislam wana kila sababu ya kukaa chini na kufikir upya juu ya mstakabali wa dini yao mimi ni mwalimu wa shule hiz za sekondari za kata,ukitafuta wanafunzi wanaofanya vizuri kuanzia form one hadi form four ni wakristo.hakuna upendeleo hili...
Back
Top Bottom