Recent content by KITENDAGULO

  1. K

    Lema apinga kuvuliwa ubunge kwa hoja 42

    Jaji lwakibalila aliyeukum kesi ya lema amepooza ,hayuko kwenye kituo chake kwa muda mrefu sasa.
  2. K

    Polisi watimua mbio kujinusuru na vijana wa CHADEMA

    ccm mambo yenu mnayoyafanya mnasababisha chuki kati ya polisi na raia,fanyeni mambo yenu kwa busara ya hali ya juu
  3. K

    Vincent Nyerere amstaafisha rasmi Ben Mkapa siasa

    Viongozi wasitaafu kueni na tabia na busara kama za mzee Ally Hassan Mwinyi,huwezi kumkuta anatoa matamko au maneno yanayowakwaza watu wengine.Lakini Mkapa amekuwa na tabia ya kutoa matamko ya kukwaza tangu alipokuwa madarakani hata sasa.Watu wamemvumilia wamechoka,na hasirudie tena.
  4. K

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Nape karibu cdm umependeza sana kwa kuvaa hilo gwanda
  5. K

    Katika Mabunge yote, Bunge la 10 balaaaa!

    wabunge mnaona serikali haina azina ya kutosha ninyi mnataka kuonezewa posho
  6. K

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    Kaulimbiu hii ni ya kipumbavu sana.Mtu mwenye akili hawezi kuisifia na kuishangilia wakati nchi hiko katika wakati mgumu wa kutokuwa na adhina .Ofisi hazina pesa za kujiendesha,kama mafuta ya magari,malipo kwa watumishi hata mishahala hawajapata.
  7. K

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    Hiyo kaulimbiu ni ya kipumbavu sana.Mtu muelewa mwenye akili huwezi kuishangilia na kuisifia.
  8. K

    Mafisadi CCM sasa wakalia kuti kavu; JK alikwepa mtafaruku, kupisha upepo mbaya

    Bila wananchi kuingia barabarani,tutaendelea kudhalauliwa na kuonekana wasindikizaji wa mafisadi katika nchi hii.
  9. K

    Makongoro Nyerere ampasulia JK!

    ccm hacha kuwababaisha watanzania kwa kutumia wake zetu kama mtaji wenu kuwapigia kura
Back
Top Bottom