Vincent Nyerere amstaafisha rasmi Ben Mkapa siasa

Hapo mh. Kajivunjia uheshimiwa, kubwa zima linaongozana na watumia kokeini kama lusinde. Ovyooooooooooo!
 
ikumbukwe pia kuwa mzee mkapa tangu mwanzo hakuwa na mvuto katika medani za siasa. amshukuru sana mwl Nyerere aliyembeba na kumpeleka Ikulu. Nafikiri kwa vile alihaidi kwamba hatajihusisha na siasa baada ya kustaafu, sasa kinachomkuta ni aibu ya uzeeni ya kudharirishwa na watoto wadogo. Angekumbuka lile balaa la uchaguzi wa marudio jimbo la Temeke miaka mingi iliyopita pale yeye na serikali yake yote walipohamia Temeke kumnadi mgombea wao lakini Augustine Lyatonga Mrema akawabwaga kwa ushindi wa kishindo. sasa Mh. Nassari kagonga palepale tena kwenye uso! safi sana kijana wetu mpendwa
 
Nimeipenda hii hip hop kama sio shairi, walihitaji dogo janja sio kubwa jinga!!
I listened to this young man Nasari, infact pamoja na kukesha usiku kucha hapo, jamaa aliongea kwa uhakika kama yalivyonukuliwa maneno hapo juu.!!
Jamani mtoto anatisha big up!!
:A S angel::A S angel:
 
Viongozi wasitaafu kueni na tabia na busara kama za mzee Ally Hassan Mwinyi,huwezi kumkuta anatoa matamko au maneno yanayowakwaza watu wengine.Lakini Mkapa amekuwa na tabia ya kutoa matamko ya kukwaza tangu alipokuwa madarakani hata sasa.Watu wamemvumilia wamechoka,na hasirudie tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom