SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Hapana mkuu!bado naendelea kukataa kwamba 'Nyerere alituletea fisadi Mkapa'!By that time mkapa hakuwa fisadi.Nyerere hakuwa Mungu wa kumtambua Mkapa kuwa atakuwa fisadi baadae.Unafahamu kuwa Mkapa aliingia ikulu akiitwa aka 'Mr.Clean'?Sasa hilo la kutuletea fisadi limetoka wapi?Ndomana nimekuuliza hayo mabaya ya Mkapa wakati akinadiwa na mwl Nyerere ni yapi ili tupate uhakika kuwa Nyerere aliyafumbia macho?Otherwise nakubaliana na wewe kuwa Nyerere hakuwa malaika,kuna makosa alifanya kama alivyokiri mwenyewe lakini hili la "kutuletea fisadi Mkapa"bado nalikataa.Huwezi kulinganisha hilo na Kikwete kuwapigia kampeni akina Mramba,Chenge,Lowasa na Rostam kwakuwa hawa tayari walikuwa ni sehemu ya mijadala ya ufisadi popote nchini na nje ya nchi.Sasa Mkapa as CCM presidential candidate by that time alikuwa na image ipi mbaya kuhusu utendaji wake?
Ufisadi wa Mkapa haukuanza baada ya kuwa rais kwani kiti cha urais hakimfanyi mtu kuwa fisadi.Ufisadi ni hulka ya mtu, hivyo Mkapa alikuwa fisadi tangu anazaliwa ila tu alikuwa ameficha makucha yake, sasa Mwalimu hakulijua hilo, fine,lakini kutokujua ufisadi wa Mkapa hakumuondolei lawama ya kuwa ni yeye aliyemuingiza ikulu.