Recent content by kitefure2

  1. K

    Kukitakia Kifo Chama Mpinzani Wako Kuna Uzalendo Hapo?

    CCM km KANU na UNIP lazima kife
  2. K

    Kusini tunajiandaa kutoa matamko makali dhidi ya ukimya wa Dr Slaa na Mh Mbowe

    Kina Slaa na Mbowe sasa wako wengi na km unafatilia kwa umakini matamko yao yemeshatolewa siku nyingi na bado yanaendelea kutolewa. Kwa mfano tu fuatilia Jenerali on Monay wiki hii. Kwa hiyo wako nyuma yenu wana Mtwara.
  3. K

    Ushahidi wa CHADEMA kuinyima CCM usingizi ni huu..

    Acha CCM wamalizane wenyewe. Jamhuri ni mali ya Lowasa na Habari leo wanatumia hela za watanzania kueneza chuki dhidi ya watanzania. CCM na serikali yake ndio wanazidi kujichimbia kaburi lakini wa.tz wawe makini na maadui wao hawa CCM na serikali yao
  4. K

    Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    CCM ni chama cha kufa tu. Habari leo linatumia hela za watanzania kueneza uongo ambao mMtanzania wa leo sio yule wa jana. Haya ni maneno ya walioishiwa fikra na nawashauri wana mapinduzi wa sasa wasusie kusoma gazeti hilo kama ilivyo TBC.
  5. K

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Huyo ni mzee wa kulala kazinduka usingizini sasa hivi. Weusi na sura yake vinaonyesha moyo wake ulivyo anapowatakia watanzania mabaya.
  6. K

    Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Acha porojo CHADEMA iko juu
  7. K

    jinsi ya kumpagawisha mwanaume

    Muhimu kina dada/mama kuwa watundu
  8. K

    jinsi ya kumpagawisha mwanaume

    Thanx for the advice
  9. K

    Wassira atamba kuwa yeye ndio Mwarubaini wa CHADEMA

    Ajikumbushe ya Arumeru na Usingizi usioisha
  10. K

    STAR TV mjipange

    Nami nimekuwa mpenzi wa StarTV kwa muda mrefu kutokana na vipindi vyake kuwa professional. Lakini hivi karibuni wameanza upuuza wa kukifanya kituo hiki kuwa mali ya CCM kwa kuonyesha vipindi vya kushabikia CCM. Nadhani hii ilitokana na Boss wa Sahara Media kuukwaa uenyekiti wa CCM (M) Mwanza...
  11. K

    'V' yaniletea balaa kwenye SEX!

    Nikumbushe basi hiyo V unamaanisha kitu gani
  12. K

    'V' yaniletea balaa kwenye SEX!

    Hebu nikumbushe V unamaanisha kitu gani
  13. K

    Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

    Ratiba ilionyesha kesho ijumaa ndipo angefungua Nelson Mandela University
  14. K

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    Topic haina mantiki yoyote
  15. K

    Chadema ajiri makatibu wa mikoa na wilaya

    Naunga mkono asilimia 100. Lifanyiwe kazi mara moja ili kuimarisha chama kabla ya 2015.
Back
Top Bottom