Recent content by kitakule

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Shinyanga: Kampeni za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA uwanja wa Lubaga Joshoni

    nawe vipi?unauliza NYETI za kuku kwenye upepo? tunataka na tutainyofoa ccm madarakani kwa sababu wameonyesha kushindwa totaly,miaka hamsini na nne hakuna kitu kabisaaa! yaani hata madawati mashuleni wameshindwa! haibu! alafu mgombea wao kila kitu anashangaa kwa nini serikali imeshindwa,pia naye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Nyamongo. Vijana Hawataki Kusikia Habari za Mbowe

    ukweli ni kwamba hakuna mwana Chadema hata mmoja kati ya hao uliowaona Mwanza wakichoma kadi za CDM,ni vjana walioandaliwa na CCM kama walivyofanya Dar es salaam.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    kwa kifupi mimi nipo airport muda huu,ninachoweza kuwajuza ni kuwa hii serikali ya ccm inatakiwa isurubiwe kwenye sanduku la kura hapo october 25,maana nguvu inayotumika hapa kutawanya watu si ya kawaida!pia najiuliza hii bajeti ya mabomu,magari,mafuta na nguvu kazi imetoka wapi?na hali...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania mnaoendelea kughiribiwa na Lowassa

    nakuhakikishia kura yako haitatosha kumkwamisha jamaa asikanyage magogoni,bali kura yako itaungua bure! kumbuka kuwa SAUTI YA WENGI ni sauti ya MUNGU!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wenje anafanya mkutano Nyamagana

    Wana jf,leo hali ya mwitikio wa watu ktk viwanja vya Mbugani P/School,ni dalili tosha kuwa wapinzani wa Wenje ktk jimbo la Nyamagana wasijisumbue kifanya kampeni wakitegemea kuwa wataweza kupambana na huyu jamaa! Wenje anatosha kabisa kuendelea kuliongoza jimbo hili kwani ameweza kutoa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    labda awe RAIS wa nyumbani kwenu lakini si JMT.Pia niwajulishe wana jamvi kuwa leo nimepata "KISU" kadi ya mpiga kura ili October nikatekate mbogamboga (ccm)maana nimezichoka sanaaa! mimi naamini kuwa kumpata mgombea safi ndani ya ccm,ni sawa na kumtafuta mwanamke BIKIRA ndani ya wodi ya wazazi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    umesahau na U.T.A.H.A.ILA pia! huyo mamvi wenu KWISHINEY!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa sitatazama ITV

    act mna habari gani ya kuonyeshwa na chombo THE SUPERBRAND ITV? ninyi mlikubali kutumwa na ccm ili mkapambane na WAPINZANI, sasa habari zenu si mkapeleke TBCCM?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA kukutana leo

    utakufa na dhana ya UKABILA,hiyo ngonjera yenu ya chadema chama cha WACHAGA mlishafail siku nyingi lakini hamstuki! MBURULA nyieeeee!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa sitatazama ITV

    Dotto C. Rangimoto katazame tbc yenu! laana ya USALTI itawatafuna taratibu,kaaa kulialia na itv,mwisho wenu ni baada ya ELECTION october hakutakuwa na AGIZO LA CHAMA TAWALA (ACT) tena katika ardhi hii ya TANGANYIKA!
  11. K

    JamiiForums Tanzania PIGA KURA: Kipima JOTO ITV Leo Jumapili 5.7.2015

    ndiyoooooo,ndiyooooooooo,ndiyoooooooo!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukimwona mtu anapinga uundwaji wa Sheria ya Gesi na Mafuta muogope kama ukoma

    mleta mada KAVURUGWA! hajui alisemalo,na si yeye pekee bali ccm wote hakili zao hazikosawa!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    labda bwana yako mzee wa RICHMOND!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    tupo pamoja mkuu,hata wale wa upinzani ambao wamebaki bila kupigwa BAN inabidi na wao wakomae hiyo miswada ya KISHENZI ya dharula isijadiliwe na wasitoke nje ya bunge wakomae humo humo mjengoni!
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM waumbuka Mwanza

    Kumradhi!2014 Dec.14
Back
Top Bottom