Kwa Watanzania mnaoendelea kughiribiwa na Lowassa

Tumetapeliwa zaidi ya miaka 50 na bado hashtuki. Mtu mwingine anazoelea kunyanyaswa hadi anaufanya kuwa sehemu ya utaratibu wake wa kawaida wa maisha. HII NI ROHO kabisa. Roho ya ulimbukeni. Nendeni kwa viongozi wa dini mkaombewe. Hii sio kawaida, kuishabikia ccm karne hii lazima ujitoe ufahamu.
EL kwakushiriki nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM ikiwemo na uwaziri mkuu ambao ndio serikali yenyewe atakua ameshiriki kunitapeli kwa zaidi ya miaka 50 kama usemavyo ambaye leo ndio mgombea wako wa uraisi,nafikiri tutakua tunahamisha utapeli uleule kutoka CCM kwenda UKAWA uendelee kututapeli, na wewe sijui hushtuki kwa hilo?
 
Sasa hao marafiki zake ambao ni matajiri na ambao ndio wanaompa hela za kumwaga ovyo jiulizeni kuwa watarudishaje hela zaoooo?
Bila shaka jibu mumeshapata kuwa ni kupitia mikataba mbalimbali ya gesi, madini,misitu,ardhi na malia asili nyinginezo nchini. Msitarajie maendeleo zaidi tarajieni umasikini utakaokuwa umepitiliza na ambao haujawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
 
Binafsi nimekataa kufuata mkumbo, naiandaa kura yangu kumkwamisha fisadi el asikanyage magogoni.

nakuhakikishia kura yako haitatosha kumkwamisha jamaa asikanyage magogoni,bali kura yako itaungua bure! kumbuka kuwa SAUTI YA WENGI ni sauti ya MUNGU!
 
Na watu wachache ambao ni hao marafiki zake kuwa mabilionea wa kupitiliza.
 
Kama EL anatununua wengine wanashindwa nini kutununua? Za ESCROW wamepeleka wapi nao watununue
 
nakuhakikishia kura yako haitatosha kumkwamisha jamaa asikanyage magogoni,bali kura yako itaungua bure! kumbuka kuwa SAUTI YA WENGI ni sauti ya MUNGU!

"Ni heshima kubwa kwa MUNGU kumzomea fisadi lowasa"by G. lem,
Sasa sijui tushike lipi hapo!
 
Ndugu siasa ni drama!
Tambo anazopiga ENL ndio hizohizo walizonazo green party........so,nature will sort out the powerful!
 
Tunachokita ni ccm itoke madarakani tu basi. Tumechoka na shida hizi. Ccm toka kwa jina la Yesu. Ccm ni pepo mchafu anastahili kuondolewa kwa njia yoyote ile
 
EL kwakushiriki nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM ikiwemo na uwaziri mkuu ambao ndio serikali yenyewe atakua ameshiriki kunitapeli kwa zaidi ya miaka 50 kama usemavyo ambaye leo ndio mgombea wako wa uraisi,nafikiri tutakua tunahamisha utapeli uleule kutoka CCM kwenda UKAWA uendelee kututapeli, na wewe sijui hushtuki kwa hilo?
Nimekuelewa.unatambua wazi serikali ya ccm ndiyo imekutapeli.ni kweli Lowasa amekuwepo huko kwa muda nae ametambua ccm haitutendei haki .akataka kubadili hali hiyo kwa kuchoshwa na umaskini wa wananchi.haikuwezekana ndani ya ccm akaja huku kwa nia hiyo nzuri.sasa tuungane nae kuleta ukombozi Tanzania.ccm bado hawajaona makosa yao na hawataki kuyaona.hivyo tuwapeleke jumba la makumbusho ya taifa.saa ya ukombozi ni sasa.usingoje kuchekwa na historia.
 
Tunachokita ni ccm itoke madarakani tu basi. Tumechoka na shida hizi. Ccm toka kwa jina la Yesu. Ccm ni pepo mchafu anastahili kuondolewa kwa njia yoyote ile

Sasa bosi pepo halikemewi kwa pepo unahitaji upako ndio ukemee,sasa bosi lile mliloliita pepo ndio mnalikabidhi bendera,hapo utakauka mate kwakukemea ila pepo halitotoka,yani mmeacha upako pembeni(dr slaa) mkakaribisha pepo ili mkemee mapepo,
 
Tumetapeliwa zaidi ya miaka 50 na bado hashtuki. Mtu mwingine anazoelea kunyanyaswa hadi anaufanya kuwa sehemu ya utaratibu wake wa kawaida wa maisha. HII NI ROHO kabisa. Roho ya ulimbukeni. Nendeni kwa viongozi wa dini mkaombewe. Hii sio kawaida, kuishabikia ccm karne hii lazima ujitoe ufahamu.

Watafuteni watanzania wa mwaka 47 ndio muwadanganye.
 
EL kwakushiriki nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM ikiwemo na uwaziri mkuu ambao ndio serikali yenyewe atakua ameshiriki kunitapeli kwa zaidi ya miaka 50 kama usemavyo ambaye leo ndio mgombea wako wa uraisi,nafikiri tutakua tunahamisha utapeli uleule kutoka CCM kwenda UKAWA uendelee kututapeli, na wewe sijui hushtuki kwa hilo?

Sisi hatuitaki ccm tu kwahiyo usishangae tunaitoaje CCM Bali tafakari jinsi ya kuyapokea mageuzi
 
Kuna tatizo gani kwa mhusika kufanya hivyo huenda ndio mbinu yake vitani wewe Tafuta mbinu mbadala badala ya kulalamika oh analipa ticket anafanya vile.ukiwa vitani unatumia mbinu yeyote inayomtetemesha adui.Sisi wana ccm tuache kulalamika tutafute mbinu ya kupambana bila kulalamika.
 
Sasa hao marafiki zake ambao ni matajiri na ambao ndio wanaompa hela za kumwaga ovyo jiulizeni kuwa watarudishaje hela zaoooo?
Bila shaka jibu mumeshapata kuwa ni kupitia mikataba mbalimbali ya gesi, madini,misitu,ardhi na malia asili nyinginezo nchini. Msitarajie maendeleo zaidi tarajieni umasikini utakaokuwa umepitiliza na ambao haujawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Wewe umewahi kupokea Tsh. Ngapi kutoka kwa Lowasa?
Maana tusiwaaminishe wananchi matakwa yetu tuwe wawazi jamani.
Penye ukweli tuwe wakweli huwezi kusema anatoa pesa wakati haujawahi kupokea.
 
EL kwakushiriki nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM ikiwemo na uwaziri mkuu ambao ndio serikali yenyewe atakua ameshiriki kunitapeli kwa zaidi ya miaka 50 kama usemavyo ambaye leo ndio mgombea wako wa uraisi,nafikiri tutakua tunahamisha utapeli uleule kutoka CCM kwenda UKAWA uendelee kututapeli, na wewe sijui hushtuki kwa hilo?

Kwa hiyo unataka tumchague nani ambaye hajashika nyadhifa?
 
Hawezi kutudanganya Wtz 23ml kisa kununua wapambe ilikuingia magogoni. Hiyo ikulu ataisikia kwenye bomba. Hela zimewageuza wakina msigwa, lisu, lema, mnyika. Hapa sasa ndoo anaenda kukutana na wananchi kwenye box la kula.
 
Sasa hao marafiki zake ambao ni matajiri na ambao ndio wanaompa hela za kumwaga ovyo jiulizeni kuwa watarudishaje hela zaoooo?
Bila shaka jibu mumeshapata kuwa ni kupitia mikataba mbalimbali ya gesi, madini,misitu,ardhi na malia asili nyinginezo nchini. Msitarajie maendeleo zaidi tarajieni umasikini utakaokuwa umepitiliza na ambao haujawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Mikataba yote hiyo ilisainiwa na serekali ya CCM kipindi ambacho Lowassa akiwa hayupo madarakani ili kutuibia.
 
Hawezi kutudanganya Wtz 23ml kisa kununua wapambe ilikuingia magogoni. Hiyo ikulu ataisikia kwenye bomba. Hela zimewageuza wakina msigwa, lisu, lema, mnyika. Hapa sasa ndoo anaenda kukutana na wananchi kwenye box la kula.

Edeleeni kula kwenye box,wenzenu tunawasubiri tuwachape kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom