Recent content by Kitaani

  1. Kitaani

    Sasa ni dhahiri Simon Sirro kung'oka kabla ya muda wake

    Wewe unazani kiongozi mkubwa km mbowe anaweza kuwekwa ndani kwa kipindi chote hicho na police bila Maelekezo kutoka juu Tena juu kabisa kwenye Taasisi Ya Rais.. Never ever.. Hawa wanapokea Maelekezo Tu
  2. Kitaani

    GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Target yao itamnasa Tundu, coz hafikilii Target yao nn..
  3. Kitaani

    Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

    Ww ndo unatumia makalio kufikiri, magerexa cyo airport au kweny harusi mnaenda kundi et kumpokea, kila sehem na taratibu zake, fanya uchnguzi sehem za magerexa na mahakama cyo za kwenda na mihemko , mbn wao ulipoenda kupokelewa hayakutokea hayo, hasira za kike bhana yaani wao walienda na zile...
  4. Kitaani

    Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

    Na ww unausotea kwa mingapi...!? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kitaani

    Dkt. Kigwangalla aliwashia moto gazeti la Jamhuri kwa 'kumchafua'

    Malipo ni hapa hapa Duniani, Dr. Mwaka ulimzingua xanA kipindi kile, mbaba wa watu nae alikuwa anajitafutia na kusaidia watu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kitaani

    Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

    Acha tu viungue hivyo ni vya matajiri watajenga vingne, Mungu tu asaidie wasife watu wala kuumia... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kitaani

    Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Hiyo Vita cyo ya kuombea itokee, yaani itaasili duniani kote na hasa huku kwetu Africa... Nyasi ndo huumia na nyasi ndo cc Africa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kitaani

    Hawa ndio wanamageuzi kuelekea Uchumi wa Kati

    Ngoja waje vijana wa Mbowe, utakimbia mwenyewe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kitaani

    Kwani ni lazima mwanafunzi asome English Medium?

    Hata mm naumiza kichwa xana Leo na kazi kesho kazi inaisha c unajua kazi za watu binafsi mguu nje ndani, sasa akianza private tena aje arudi government ck mambo yameenda mrama Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kitaani

    Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

    Hahaha nimecheka xana kwa comment za hii mada.. Kuna moja et anashinda saloon, badae gym kutafuta sixpakars za kutafutia majimama [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kitaani

    Zitto ni mwanasiasa mjanja anayefaidika kupitia matatizo ya wenzake

    Yaani kiukweli nakuunga mkono asiliamia 99%, half mbn yeye huwa hafungwi wala kuandamwa xana na serikali!? Au kweli ni mamluki wa serikali km chadema walivyosema au ajili ya uchawi wake Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kitaani

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Nielekeze mizizi jinsi ya kutumia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kitaani

    Kitakachowagharimu wapinzania 2020 kwenye Uchaguzi Mkuu

    Yaani wapinzani wa tz, ni sawa na ww kwenda kwa mwanamke WA Mwenzio na kumpondea mwanaume mwenzio ili ww umpate Mwanamke, badala ya kumwaga sera zako za kumkonvic yule Mwanamke awe wako... Wapinzani Njoo na sera za kuinua Taifa letu mtachukua inchi kiulain, cyo kila ck kusema ya ccm tu mnapoteza...
  14. Kitaani

    Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Umenikumbusha mbali xana kipnd cha mwalim Mashaka ndo alikuwa head mistress wetu.. Nimesoma hapo o, o'level Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom