Zitto ni mwanasiasa mjanja anayefaidika kupitia matatizo ya wenzake

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Zitto ni kama fisi, Simba anaposhiba mzoga wa mnyama ndipo fisi nao wanatokeza kufaidi mabaki ya mzoga ulioachwa.

Zitto utamkuta akijishikiza Kwa watu wenye matatizo kama mfariji. Ukifungwa jela/mahabusu na ukiwa popular tegemea kutembelewa na Zitto na akitoka kukuona mitandao itajaa picha zako!

Mifano ni mingi kama Kwa Tundu Lissu, Abdul Nondo, Viongozi wa CDM, Kabendera, dogo wa kituo cha sheria na haki, Akina Maarim na fallen CUF in Zanzibar n.k kifupi ZZK ni rafiki mzuri ukiwa na misala ila ndo anajijenga ujue! Anakugeuza fursa!

Usitegemee Zitto akikamatwa atakaa mahabusu muda mrefu, thubutuu! Hata aiseme hovyo serikali namna gani, atatishiwa nyau tu then anaachiwa aendelee Kula bata!

Cha ajabu, Yuko bize Dar ila Jimbo lake na Mkoa Kwa ujumla una-umasikini uliotopea!miundo mbinu yake ni aibu ya Karne!

Kweli kufa kufaana!
Kunguru mjanja huishi miaka mingi!
images%20(3).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa anaishi kwa ujanja ujanja tu, uongo, unafiki na fitina.

Ukiondoa hivyo vitu vitatu hajui jinsi ya kusurvive hapa Duniani, ndo maana anajaribu kujikweza kuliko uhalisia kama haufahamu chochote kuhusu Siasa za TZ unaweza kufikiri yeye ndo Mkuu wa Upinzani TZ, Chama chake ndo Msemaji wa Upinzani TZ kumbe ni Chama kibovu na kichanga kuliko vyote na hata kina Mbunge 1 tu Bungeni ambaye ni yeye.

Anajisifia kuwa Mchumi lkn mpaka leo hii sijawahi kusikia paper yoyote aliyochapisha popote au hata tu thesis yake aliandika kuhusu nini na alipata award gani popote pale, sijawahi sikia ila nasikia yeye ni Mchumi mahiri, lkn midomoni tu.
 
Yaani kiukweli nakuunga mkono asiliamia 99%, half mbn yeye huwa hafungwi wala kuandamwa xana na serikali!? Au kweli ni mamluki wa serikali km chadema walivyosema au ajili ya uchawi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha uchawi wala nini may be ni steti agent!

Ukiangalia matwita yake yenye maneno ya shombo Kali, ndiyo hayo hayo yalikuwa yanamfunga Lissu, ila kajamaa ni masaa tu kako nje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akija hapa natembea Kwa miguu kutoka hapa Goba mpaka kwao Ujiji ubembeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sahihi kwenye uzi wako namba moja, kuna mwanasiasa asiyetumia matatizo kama fursa? Kama yupo mtaje. Najua Zito sio wa kuaminika, lakini sio mwanasiasa pekee anayetumia matatizo ya watu kama fursa. Unataka Zito aje hapa jukwaani, ni wanasiasa wangapi tumewahi kuwaita hapa kujibu shutuma na wakaja?
 
Uko sahihi kwenye uzi wako namba moja, kuna mwanasiasa asiyetumia matatizo kama fursa? Kama yupo mtaje. Najua Zito sio wa kuaminika, lakini sio mwanasiasa pekee anayetumia matatizo ya watu kama fursa. Unataka Zito aje hapa jukwaani, ni wanasiasa wangapi tumewahi kuwaita hapa kujibu shutuma na wakaja?
Wanasiasa wengi ndio njia Yao but ZZK kazidi. Hana mbinu mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom