Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
Hahahaa..
Kassim yeye ametangulia sa hizi Anajitafunia zake Mabikra 72 kwa zamu anazichakata.
Kassim yeye ametangulia sa hizi Anajitafunia zake Mabikra 72 kwa zamu anazichakata.
fita ni fita mura!Licha ya nguvu nyingi wanaweza kuangamizwa vilevile. Kumbuka sio siku zote mwenye nguvu ndio ashindae. Kila mtu aliamini Daudi anaenda kuuawa na goliati lkn kilichomkuta goliati ni historia. By the way uzi wako ni porojo tu, hauna cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni endapo Marekani ndiye atayeanzisha mapambano...Watapigania Irani mkuu.
Hili kila mtu anajua.
Yes men .
Wachangiaji kama wewe ni wachache sana jukwaa ili.Hakuna Vita hapo kwa sasa!
Kinachofanyika ni game ya Kisiasa kwa pande zote mbili
Tayari Iran imefanikiwa kushawishi Utawala wa Iraq kuikataa Marekani kwa kupitisha Azimio rasmi
Marekan imefanikiwa kushawishi NATO na Umoja wa Ulaya kuwa upande wake
Iran nayo imejitoa kwenye makubaliano ya ki nyuclear for Pilitical reasons pia
Sasa hivi America imefanikiwa kwa upande wa kuithibitishia Dunia kuwa Iran ipo Iraq Vitani kwa kuwa Kamanda wake kauawa Iraq sio Iran
Iran imefanikiwa kurejesha Ki Propaganda sana
America imefanikiwa kijeshi
Ki Vita Iran hana ubavu wa kuipiga America ila ana ubavu wa kuitingisha ki Uchumi kitu ambacho America haipo tayari kwa sasa
MmmmhHii ni atomic ( mother of all nuclear ) linaharibu nchi in one second .hakuna nchi yenye only USA
Sawasawa...America ni Taifa kubwa Duniani na likikuwekea vikwazo lazima utayumba
Iran ina vikwazo vya Magharibi kwa Miaka 40 lakin jee unaweza kuwalinganisha na Zimbabwe waliowekewa juzi juzi?
Pamoja na Vikwazo vyote hivyo bado anazidi ku emerge kama Super power wa Middle East mbele ya Saudia na Israel
Kule ni mwendo wa kuzalisha Engineers tu kila mwaka
Wakipigana ni sisi kajamba nani tutakaoumia, wese tu lishaanza kupanda bei, haya mambo siyo ya kuyashabikia kabisa...Mambo yanaanza kuwa serious. Pentagon wanaonekana waki warm-up hizo ndege.
View attachment 1314766View attachment 1314767View attachment 1314768View attachment 1314769View attachment 1314770View attachment 1314771View attachment 1314772View attachment 1314773
Wale watu ni hatari Sana, just imagine kuanzia kipindi cha ottoman empire mpaka kipindi cha muingereza, hakuna mtu hata wala taifa hata moja lililowahi itawala Iran.America ni Taifa kubwa Duniani na likikuwekea vikwazo lazima utayumba
Iran ina vikwazo vya Magharibi kwa Miaka 40 lakin jee unaweza kuwalinganisha na Zimbabwe waliowekewa juzi juzi?
Pamoja na Vikwazo vyote hivyo bado anazidi ku emerge kama Super power wa Middle East mbele ya Saudia na Israel
Kule ni mwendo wa kuzalisha Engineers tu kila mwaka
Iran/Iraq ni chimbuko la mwanadamu na historia kubwa ya wanadamu imelala maeneo hayo...Wale watu ni hatari Sana, just imagine kuanzia kipindi cha ottoman empire mpaka kipindi cha muingereza, hakuna mtu hata wala taifa hata moja lililowahi itawala Iran.
Hiyo inamaanisha ni taifa linalojitambua na ndio maana wapo vizuri kwenye kila nyanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mmesahau Sadam .mpaka Dakika ya mwisho alifikiri Usa wanatania .Alivyoamka usiku nchi imeengiliwa
Wale watu ni hatari Sana, just imagine kuanzia kipindi cha ottoman empire mpaka kipindi cha muingereza, hakuna mtu hata wala taifa hata moja lililowahi itawala Iran.
Hiyo inamaanisha ni taifa linalojitambua na ndio maana wapo vizuri kwenye kila nyanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
F-35 Lightning, F-22 RaptorF35 Raptors ma/mae
Iraq ilikuwa utawala wa Mtu mmoja
Iran ni Taasisi, wamepita kina Hashim Rafsanjan, Ahmed Najad, Khatami n.k lakin foreign policy yao imebaki vile vile
US wakienda Iran wanaenda kuangusha tawala ya Tehran then what next?
Wazungu wana akili hawakurupuki kama Sisi
Tayari Democratic wametangaza hawapo tayari kwa Vita na Iran
Wanaanda Resolution Bungeni kumpiga stop Trump
Trump anataka kutumia vita na Iran kujipa umaarufu kuelekea UchaguZi
Putin emergency visit to middle east todayMkuu hivi kumbe mpaka muda huu unafikiri uamuzi ya kuivamia Iran ni maamuzi binafsi ya trump!??
Sent using Jamii Forums mobile app