Ndiyo
Hawawezi kwasababu hii ni 100% organic supplement inatibu chanzo cha tatizo sio kama viagraHasa Fifa wakijua natumia madawa ya kuongeza nguvu siwatanipiga ban ya maisha.
Watu gani sasa
Ok nimekuelewa sasa.Hawawezi kwasababu hii ni 100% organic supplement inatibu chanzo cha tatizo sio kama viagra
Biashara at work
Nielekeze mizizi jinsi ya kutumiakuna mzee mmoja alinisimulia kuwa mwaka 1994 alishikwa na ugonjwa akiwa Mgodini Msumbiji alikuwa hawezi kuinama wala kuchuchumaa akiwa huko nchi za nje alipewa dawa za kila aina lakini hazikufua dafu hali ikazidi kuwa mbaya ikabidi wamrudishe Tanzania akiwa hoi, alipofika kwao ikabidi achemshiwe miziz ya mlonge baada ya wiki 1 akaanza kuinama n.k.
kuanzia siku hiyo mzee anaupenda sana Mlonge aliniambia kuwa nyumbani kwake amepanda miti mingi ya Mlonge.
......................................................................
baada ya mimi kujionea maajabu ya mlonge sikuamini ikabidi niwasimulie washkaji zangu wakasema hii kitu haiwezekani nikawapa mlonge wakaenda kutest mitambo aiseee baada ya siku kadhaa napigiwa simu kuwa nilitaka kuwagombanisha na mademu zao et walipiga show lakini wazungu hawatoki (hapa kila mmoja alinipa mrejesho wa wakati wake)
...................................................................
kuna rafiki yangu alikuwa na Typhoid sugu baada ya kutumia mlonge sasa anapeta na maji hata yasio chemshwa.
.................................................................
Wakuu huu mmea ni neema ukiwa kwa wale wakina Sigwa, Dr Mwaka n.k wanatumia sana huu mmea coz unatibu magonjwa mengi mpk kwa wale wazee wa CD4 Inaongeza.
kama kutakuwa na makosa ya kiuandishi mnisamehee..
KUPANGA NI KUCHAGUA
unaweza kuomba msaada/ kuuliza swali n.k
Angalia post no 146 nimeeleza hapo
Mkuu huo mlonge kipi sahihi au ipi dawa nzuri ni miziz yake shina lake majani yake au matunda yake tuambie na bei plz
Hasa Fifa wakijua natumia madawa ya kuongeza nguvu siwatanipiga ban ya maisha.
Mkuu unao unga wa mlonge? Bei gani? Na je unatumikaje? Mimi nahitaji kwa matumizi ya kawaida ya familia yangu, kama wasemavyo prevention is better than cureNi kinga pia ya vitu vingine
ha ha ha ha sina la kuuliza zaidiMtajaribia hapa View attachment 1047176
Copy&pasteC&P
1. HUko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu kisukari.
2. HUko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
3. HUtibu matatizo u maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo
5. Hutibu kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha ile lehemu hata ile ya juu zaidi
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweza sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi
14. Unasafisha ini
15. Inasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Inarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoa doa meusi kwenye ngozi
26. Husafisha damu
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindipindu
31. Huondoa moto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuaji
38. Inatibu kiseyeye
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Inatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana
43. Inatibu ugonjwa wa kuvimba mwili
44. Inatibu kuhara damu
45. Inatibu kisonono
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi
47. Unatibu homa ya manjano
48. Unatibu malaria
49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo
50. Unasaidia pia kujenga na kuimarisha misuli
51. Unatibu magonjwa ya mifupa
Mlonge uansafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele. Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.
Majani ya mti wa mlonge pia yanaweza kutumika kutengeneza biogas. Hutumika pia kama chakala cha wanyama kama sungura , mbuzi, ng’mbe. Mbwa n.k. Sungura wanaonekana kupenda zaidi mlonge kuliko wanyama wote
Mkuu unao unga wa mlonge? Bei gani? Na je unatumikaje? Mimi nahitaji kwa matumizi ya kawaida ya familia yangu, kama wasemavyo prevention is better than cure
Sent using Jamii Forums mobile app
C&P