Najiuliza sana wana JF, hivi huyu mwana mama wa Kifaransa, mkurugenzi wa Mbeya Cement, yuko juu ya nchi?
Mnamo mwaka 2013 Desemba, walaji (watumiaji) Saruji walipata faraja kubwa kusikia ujio wa viwanda lukuki, na upanuzi wa vilivyopo. Dangote alifunika kwa mbwembwe kibao, nao ARM hawakubakia...