Kuna nyakati mtu anaweza kufikiri kama mtoto mdogo, akaamua kufuta madudu yake kazini kwa njia fupi isiyo na akili.
Hivi karibuni, japo haikuwekwa wazi, Takukuru ilikuwa na mahojiano makini na viongozi wa juu TTCL, ili kubaini kile kinachoaminika, kuwa ni ubadhirifu.
Lakini mara baada ya mahojiano hayo, Mkuu wa idara ya fedha akaaripoti kuharibikiwa na Laptop, na watu wa tehama kwa ofisi yake wakabaini Hard Drive imebadilishwa.
Muda si mrefu, na Mkurugenzi mkuu pia, kituko hicho hicho.
Hivi, wanafikiri Watanzania ni mazombi kiasi cha kushindwa kubaini danganya toto hii.
Kaza Buti Takukuru, Maliza Msiba Huu.