Recent content by kisogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

    Wamemsahau mdau mhimu, TRA huyu ndo anaona nani analipiwa mshahara kutoka wapi/ Au biashara yake iko wapi maana anakuja kufanya makadilio.Pia NSSF anaona nani analetewa mafao kutoka wapi
  2. K

    JamiiForums Tanzania NMB, hesabu zenu za mkopo sijazielewa

    Unapofanya topup maana yake ni unachukua mkopo mpya lakin hupewi pesa zote, kiasi kinatumika kulipa mkopo wa kwanza then kinachobaki ndo unapewa cash, ndo maana unalipishwa bima na fee upya maana wao kwenye system ni wana process mkopo mpya, sema kuna argument kwenye kudai refund ya premium ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

    Yap, ukiangalia bio yake Twitter kaweka wazi kabisa ni co founder wa Crown
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Uzi mmoja safi sana aisee nimesoma comments zote.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

    Sisi CHADEMA tumeridhika kabisa na kupanda huku kwa bei, Ni imani yetu kuwa bei zilizopanda haziwahusu UVCCM
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Mkuu Makonda ni Chawa survivor usishangae akipata nyadhifa kubwa kwenye serikali mpya aisee.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mtahitaji faraja yetu ila kwa hakika mtaikosa na badala yake...

    Aisee uliona mbali mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Mkuu tunasubiri mwendelezo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    Daaah huu ni ukweli kabisa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Nakubali mkuu hatimae CHADEMA imekufa sasa mimi inaniuma sana hel yangu niliwachangia aisee.Si wangewaaacha tu CCM waendeshe nchi wenyewe bureee kabisa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

    Hakuna cha kufata katiba ni mwendo wa Vibes tu yaan nchi inaenda
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

    Mara mnataka kuifuta CHADEMA mara mnalazimisha iwapeleke wabunge wa viti maalum hiv hata mnajua mnataka nini kweli :D
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chondechonde Vyama vya Upinzani, waacheni Wabunge waliochaguliwa na Viti Maalum wakatuwakilishe

    Hatutaki vibaraka wa MABEBERU kwenye bunge letu tukufu.:D:D:D:D:D:D:D:D:DAcha CCM na ushindi wa kishindo waendeshe nchi sasa
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Tunataka bunge zima liwe la CCM hatutaki vibaraka wa MABEBERU ndani ya bunge letu Tukufu.
Back
Top Bottom