Recent content by kisoda

  1. K

    Ushauri wangu kwa vijana wanaotafuta ajira

    aisee umenisikitisha sana!mwanasosholojia na kauelewa ka psychology umeshindwa kubadili akili ya 'kondoo' mmoja anaepotea?nguvu unayoitumia hapa ungemuweka chini kijana ukamuelewesha nadhani angebadili msimamo,badala yake unajustify sijui mlambalamba midomo,suruali kata k...ndo nini sasa. Ama...
  2. K

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    ushasema maelezo wanayotoa hayakuingii akilini hata kama wakirudia mara 10,utasaidiwaje sasa? ila kwa kujisaidia wewe mwenyewe,anza kwanza wewe kupimwa akili. Mungu Ibariki Tanzania.
  3. K

    Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

    tena mida ka hii ndo ungekuwa umekula ng'ada za kutosha,unabembea tu! ka stock imekata onana na masadali,bado hatujalala
  4. K

    Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

    dogo bhana!ulichokosea ni kutaka kutuaminisha kuwa ulimpenda 'toka moyoni'. afu demu 'alikuonjesha' tu baada ya kukupiga sana kalenda,hakuwa amemaliza ufundi!na ungeenda nae ado ado ungemfaidi kinoma yani,kakupiga kalenda nyundo nzima?atakuwa anajitambua huyo. anyway,poa tu ulivyofanya uache...
  5. K

    Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

    i really can't believe this!@amu watu washavuta mazima?watu wabaaaaaya! kumbe kuchelewa kulala kuna raha yake!
  6. K

    Yupi kiwembe kati ya mcheza mpira na mwanamuziki?

    kwenye jibu langu nilitumia maneno 'ulipaswa uoneshe'....sikusema hukufanya! bado nabaki na jibu langu kwa mkuu sosoliso,hadi hapo nitakapoaminishwa vinginevyo.
  7. K

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    sasa unadhani kupinga kwako bila hoja za msingi kutaleta mabadiliko gani?okoa nguvu na muda,fanya mambo yatakayokunufaisha binafsi angalau. waachie watu wajadili hoja kwa faida yetu sote,usiwe bendera wafuata upepo!
  8. K

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    mkuu,ukijaribu kustick kwenye hoja at hand na ukawa willing kutafuta maelezo toka kwa wahusika naamini ungekuwa na mtazamo tofauti na huo. kwa kukusaidia wewe na watanzania wengine,mh.naibu waziri Simbachawene kamaliza kipindi sasa hivi ITV na katoa maelezo mazuri sana! i believe that is how...
  9. K

    Yupi kiwembe kati ya mcheza mpira na mwanamuziki?

    hilo hitimisho lako linatokana na radio mbao za mitaani!huna ushahidi! mimi pia nimekuwa nimezungukwa na wote lakini naogopa kugeneralize kishabiki kama ufanyavyo maana nitakuwa naifisha akili yangu na haitonisaidia.
  10. K

    Yupi kiwembe kati ya mcheza mpira na mwanamuziki?

    mkuu,hatujengi hoja kwa kuangalia,tunachunguza!hicho ulichosema una ushahidi nacho?ndio msingi wa hoja ulipo. halafu unajua tofauti ya 'influence' na 'controi?' in respect kwa hayo hayo mazingira unayoyazungumzia? zaidi ya hayo napata shida sana na hyo id yako. samahani lakini
  11. K

    Mdada huyu ananisumbua

    hahahahahahahaha..mkuu unastahili jibu kama hili! heshima kwako Bishanga tunaokoa nguvu na muda.
  12. K

    Jinsi ya kumwambia Mwanaume Zipu iko wazi

    Inategemea na mazingira,ikiwa ni pamoja na watu walio karibu.kama tupo wenyewe namchana tu live afunge zipu
  13. K

    Yupi kiwembe kati ya mcheza mpira na mwanamuziki?

    naomba nikushauri kiroho safi kabisa,'mitazamo' ya hapa hujengwa na detailed analysis,hivyo inapasa uoneshe japo nawe kidogo umefanya hivyo vinginevyo ni vema ukakaa kimya kwa sababu ukikurupuka haikujengi wewe wala sisi!tutakuwa tunapotezeana muda,na hilo sio dhumuni la kuwemo humu. Kiroho...
  14. K

    WEMA SEPETU mtoto wa kiislam huyupo hivyo!

    hatukatai kabisa ila wasijifiche katika mwamvuli wa dini,hicho ndio kinachokera!
  15. K

    Inahitajika original nokia n8.

    . Check PM.mambo kidogo yaliingiliana
Back
Top Bottom