Recent content by KISIBU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

    Mwezi ni kweli ndugu, mi nimeshuhudia hilo tukio na niliogopa sana, yaani mwezi ulikuwa unawaka kama jua ...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kurudishiwa 12,500/= zangu, kazi ya kujenga miundombinu ni ya serikali

    Waliotuchangia (nchi za jirani) wakisikia haya watafurahi na roho zao, hatuombei mabaya ila likitokea lingine huo mziki tutaucheza wenyewe na nadhani hata mwananchi hatochangia.....inatia hasira na kinyaa!! Mtu anapata sauti ya kusemea pesa za wahanga tena kwa dhuruma....Tunamwachia mungu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

    Usiwe bias ....kwanini umesema mtu ni yuleyule, then unaruka unasema eti walipe kwa kuangalia viwango vya elimu, kwani mwenye PhD akilipwa kama wa degree hawezi kuishi? In short hilo unalolitaka haliwezekani na uache ubinafsi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapemba rekebisheni kiswahili

    Haaaaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ya Ayoub Rioba, wasomi wa Tanzania na mila ya "kutokuongea wakati wa kula"

    Dah kuna watu mnajua kuandika aisee Mungu akubariki ndugu mtoa mada
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anayeifahamu UNICAF university anisaidie.

    Na mi moyo wangu umehingia kihoro nikasema ngoja nikimbilie huku kuomba msaada[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anayeifahamu UNICAF university anisaidie.

    Hata mi wamenipigia na nimeapply mpaka mwisho sasa wanataka deposit ya 20$ kama application fee, hapo ndo nikahisi kama nataka kufanyiwa uhuni. Natamani nipate evidence za kutosha then nifanye maamuzi sahihi. Asante sana ndugu
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimewakumba Halotel?

    Hawana wafanyakazi pia na waliopo hawafanyi kazi kwa weledi, wapo kusogeza siku tu! Usawa huu unamlipa mtu 4k kweli[emoji2]
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nina uwezo wa kumchora mtu kwa kutumia hisia...!!!

    Hata mimi hii hali huwa inanitokea sielewi ni kitu gani. Hata leo nimeota niko angani na nimepaa umbali mrefu sana. Kama kuna mwenye utaalamu zaidi wa hili jambo atueleze kiundani jamani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Huu ni ufinyu wa mawazo yake, kila mtu ana mapungufu ila huyu amepungukiwa zaidi, anadhani wanaotoa mpaka dola 400, 000 wana hela sana ama? Utu na ubinadamu kwanza! bwana.... Anaboa huyu jamaa sasa.
Back
Top Bottom