Naomba kurudishiwa 12,500/= zangu, kazi ya kujenga miundombinu ni ya serikali

Una uhakika 12500 ilifika?maana hela iliyopokelewa n bil 5.7 ambayo n saw a na hela waliotoa ubaloz was british bil 6 baada ya kutolewa na kukatwa makato zmefika bill 5.7
Na was was hela yako haikufika
Hahahaha dah nimecheka sana mkuu
 
Waliotuchangia (nchi za jirani) wakisikia haya watafurahi na roho zao, hatuombei mabaya ila likitokea lingine huo mziki tutaucheza wenyewe na nadhani hata mwananchi hatochangia.....inatia hasira na kinyaa!! Mtu anapata sauti ya kusemea pesa za wahanga tena kwa dhuruma....Tunamwachia mungu hatuwezi kupambana na risasi, "mtu anayekunywa uji wa mgonjwa ni mbaya kuliko muuaji"
 
Mkuu, punguza jazba... Tudai haki yetu kwa njia za Amani kwanza.... Hayo mengine yatakuja tu.
Kuna kipindi watanzania tunahitaji kueleweka vizuri sana kwa walioko juu. Tunatakiwa kuwa aggressive kiasi cha kutosha vinginevyo hatutoweza kufanikiwa. Tunahitaji kutumia nguvu sawa na ile inayoelekezwa kwetu, kumbuka hii nchi ni yetu sote.

Let's show our disatification and be aggressive with maximum determination ...our target should be clear to every demon around.
 
Salam,

Naomba msaada wa namna ya kurudishiwa hela yangu niliyochanga ili kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi bukoba. Hela hiyo nilichanga kwa njia ya simu Kiwango kikiwa 12,500.

Niweke wazi kuwa nilichangia kwa ajili ya kutoa misaada ya kibinadamu kwa wenzetu waliopata madhara kutokana na tetemeko Hilo. Sasa leo hii ninapoambiwa kuwa imekwenda kwenye miundombinu, na Wakati huohuo ninakatwa kodi, je kodi hiyo inafanya kazi gani???

Leo kupitia clouds tv, msemaji wa serikali amesema serikali haikuwahi kuahidi kuwa itawajengea wahanga nyumba. Na ameendelea kwa kusema mengine Mengi tu....

Naomba hela yangu asee, na sichangii tena maafa.
Sadaka hiyo baba
 
wewe ndio hauna akili kuchangia elf 12 ndio uanze kulia lia urudishiwe?kama pesa wameila wewe shukuru Mungu tu,mimi binafs nilichangia elf 53 kwa wahanga nimeumia sana kuona wahanga wakipigwa danadana.
Vitu vingne nI vya kumuachia Mungu tu sio kulia-lia aisee.
Kama wewe elf 12 unalia je UK waliotoa bil 6 wafanyaje? kenya waliotoa mabati 3000 na mifuko ya cement wafanyaje??

Acha dharau ya pesa ndugu yangu., kuna watu hawapendi kunyonywa kwa nama wanapata pesa kihalali na wanapenda matumizi halali jiangalie wewe
 
Afadhali utuwakilishe na wengine, mi nilichangia 50,000 najuutaa kuchangia maafa bora ata ningeenda kukaa viti virefu
 
Rais kishakwapua bilioni zaidi ya 15 za wahanga wa tetemeko bila hata ya woga wala aibu. Anajigamba na kujipiga kifua kwamba kaongeza makusanyo ya kodi toka bilioni 800 kwa mwezi hadi kufikia Trillioni na ushee lakini anashindwa kuchukua 20 billion kutoka makusanyo ta mwezi ya TRA kwa ajili ya miundo mbinu iliyoharibiwa na tetemeko. Once mkwapuaji always mkwapuaji.

Salam,

Naomba msaada wa namna ya kurudishiwa hela yangu niliyochanga ili kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi bukoba. Hela hiyo nilichanga kwa njia ya simu Kiwango kikiwa 12,500.

Niweke wazi kuwa nilichangia kwa ajili ya kutoa misaada ya kibinadamu kwa wenzetu waliopata madhara kutokana na tetemeko Hilo. Sasa leo hii ninapoambiwa kuwa imekwenda kwenye miundombinu, na Wakati huohuo ninakatwa kodi, je kodi hiyo inafanya kazi gani???

Leo kupitia clouds tv, msemaji wa serikali amesema serikali haikuwahi kuahidi kuwa itawajengea wahanga nyumba. Na ameendelea kwa kusema mengine Mengi tu....

Naomba hela yangu asee, na sichangii tena maafa.
 
Katika vitu serikali hii ya awamu ya tano haiwezi kueleweka ni pamoja na hili.

Jamaa mwizi
 
wewe ndio hauna akili kuchangia elf 12 ndio uanze kulia lia urudishiwe?kama pesa wameila wewe shukuru Mungu tu,mimi binafs nilichangia elf 53 kwa wahanga nimeumia sana kuona wahanga wakipigwa danadana.
Vitu vingne nI vya kumuachia Mungu tu sio kulia-lia aisee.
Kama wewe elf 12 unalia je UK waliotoa bil 6 wafanyaje? kenya waliotoa mabati 3000 na mifuko ya cement wafanyaje??
yani ww jamaa nakushangaa unaposema elf 12 sio chochote hv ww unadhani watu wote wanafanana kipato kama ww uliweza kutoa elf 53 unadhani kila mtu anaweza acha akili za kitoto jamaa hyo 12500 wakito watu mia ni hela nyingi.tena acha dharau!
 
Back
Top Bottom