Recent content by KISHIMUNDU KWETU

  1. K

    Hivi wanaume tunafaidika nini hasa kwenye haya mahusiano ya boyfriend and girlfriend?

    Safe sex ndo mpango mkuu haya mengine ya ziada mis nipate tu safe sex jumamosi kuamkia jumapili basi kama kupika napika nafua nafanya usafi sasa girlfriend wa nini sasa?
  2. K

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    Watu washafukua makaburi aisee..... Mume dar mke pangani mara paàp NYEGE CHOCHEZ......znasababisha jamaa aoe mke wa 2
  3. K

    James Rock Mwakibinga pesa anatoa wapi?

    Anatumika mkuu.....hapo yupo MAKONDA nyuma yake nadhan jamaa anatafutiwa cheo fulani hiv
  4. K

    Carol Ndosi ni nani haswa?

    Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like...
  5. K

    Carol Ndosi ni nani haswa?

    M mwenyew nlikuwepo mpaka ASLAY alivopanda ndo nkasepa
  6. K

    Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

    Siku nmekaa jumapil sijielew elew nkapiga simu demu akanambia yupo KIBAMBA nmtumie naul aje aniliwaze, mzee baba nkatuma tsh 5000... saa 5 hyo asubuh kumpigia saa 7 ananiambia yuko kimara mwisho.....nikakaa imefika saa 9 akanambia ameahirisha haji tena bahat nzur nkampigia jamaa yang yupo...
  7. K

    Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    IST YA KUENDEA KISHIMUNDU [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  8. K

    Wenye kuchezea watoto wa watu,dawa yenu ipo jikoni

    Mim nshawachezea kama nane hiv....mtoa mada naona hil ni tangazo la BIASHARA
  9. K

    Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Kuna mdada anaitwa DOREEN KABUCHE aisee huyu nae ni shida aliingia top ten o level na a level kote alisoma BENJAMIN SEC sahv na chuo UDSM alikua best student 2014...sahv yuko udsm anafundisha nadhan
  10. K

    Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Huyu jamaa MUHAGACHI tulikaa nae HALL 6 UDSM room zinafuatana weekend naenda zangu AMBIANCE narud nakuta jamaa anakomaa na kitabu daah
  11. K

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Niunganishe na huyo mtu mkuu hela ninayo
  12. K

    Line za TIGO Pesa kwa Tsh 350,000

    Line za TIGO PESA ni bure haziuzwi wakuu
  13. K

    Last night....!!!!

    KONYAGI = SPIRIT THE SPIRIT OF AFRICA
  14. K

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Viatu vya ofisini Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Naomba niulizie viatu vya ngozi kutoka china sh ngap size no 44 nkitaka kama pair 10 hiv rangi mchanganyiko nyeusi na brown aina tofaut tofaut Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom