Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

eea623bb27cd8de96ed7ba488e693bed.jpg

Mkuu wanaomjua Raymond Aidan wanasema sio huyo uliyemsema bali ni huyu na hajafa,je unasemaje hapa?
siyo raymond huyo mbona mnakua wabish sana!!!!
 
kuna dada mnyama mwingine anaitwa faith assenga, alikuwa top 10 form 4, hlf form 6 akawa TO alipiga div 1 point 3 pcm nadhani kwa mwaka huo 2012, ndo alikuwa T.O pekee mwenye A ya kemia sahiv yupo udsm Mazigazi Deadbody
Hao wa akina assenga inaonekana wako njema kwelikweli.... kuna jamaa mmoja anaitwa George v assenga alimaliza majengo o level alikuwa top ten mwaka 2008 nahisi nafasi ya saba akarudi tena pale majengo form six kwa combination ya EGM akaingia tena top 10 the same position hiyo ilikuwa 2011......

Jamaa akaenda zake Liverpool university naskia kamaliza na GPA kubwa yupo Barclay bank analipwa milioni 7 zake kwa mwezi.... hatari sana hizo damu za assenga pia ana mdogo wake sijui ndugu yake yeye alimaliza marygoreth class 2012 EGM someone maria assenga nae akatia one yake ya point tano sasa nae akafuata nyayo za brother yupo liverpool university..... Nadhani kwa sasa atakuwa kamaliza......
 
pale majengo kuna jamaa mwingine alikuwa anaitwa sabas oisso mwaka 2007 alishika nafasi ya 7 kitaifa form 4, ila nahis sifa zilimzidia advance akapata grade ya kawaida, ila kwa pale Majengo sidhani kama kuna mtu atakuja kuvunja rekodi ya wolfgang seiya, cjui lakin theriogenology
 
Mkuu huyo assenga nae alikuwa moto wa kuotea mbali... Ila kwa wolfgang alikuwa vizuri pia sema ndio hivyo jamaa hakubahatika kumalizia ungwe ya pili form6 Je angeweza kutetea nafasi yake alioipata mwaka 2009.....

Sometimes haya mambo huwa yanabadilika mkuu maanaa huyo sabas mwisho wa siku nadhani advance aliishia pata two advance......
 
Back
Top Bottom