Nltm appl yangu ya kazi 2mo ago lkn mpk leo zijasikia simu wala kuona barua wala kuona tangazo ktk website yao km shortlisting imefanyika je kuna mwenye habari na hili km ni miongoni aliyeomba kz
Mkasika. Wewe km umesoma vzr maelezo yangu usingekurupuka na english yako broken! Ndo mana wanajamvini wengine wameeelewa na kuendelea kucomment vyema. Let me repeat 4ur benefit and others dont have much expectation before u reach those land they so called developed countries, for sure you will...
Acha kuwaraghai watu hkn kazi ulaya zaidi ya kubeba box. Iwe umesoma degree Tz au Ulaya bado ngumu kwa mwafrika kpt kz professional. Mi naongea haya c kwa kusikia bali nimekaa Norway 4yrs nikaja Uk nikakaa 5yrs, nikaona hkn ramani ya kimapato zaidi ya kupt hz huduma unazosema eti kutibiwa bure...
Mimi naona kidunia watu wanaona km normal practice lkn kidini bila kubagua hili jambo la kuenenda kinyume na maumbile ya kawaida km yalivyokusudiwa na Mungu mi nakemea kabisa na ni dhambi kubwa! Tena niwachekeshe rfk yangu mmoja muslim by dini aliniambia shetani na ujanja wake wote atakushawishi...
Mgomba 101 mi nakushauri shusha jazba. Na mi nakueleza km we ni kijana(mn cjui umri wako) na ukaenda kwa jinsi unavyooenda kashfa na mengineyo kweli utafaha hapa ktk hii forum mn huu ukurasa wa majadiliano na si kashfa&jazba. Jirekibishe km umeteleza
Usikurupuke soma habari vizuri kasema makada wa CDM na watu wengine wasiojulikana. Vp bana mbona ushabiki ni zaidi kuliko hoja kuwa mpole kaka acha jazba!
Huu sasa ni uchochezi. Kila mtu akitaka kutaja kabila lake na hujuma dhidi c hapatakalika. Plz weka mada ktk hali ya kutoonyesha ukabila. Kwanza kesi ipo mahakamani ss tatizo ni nini tusubiri sheria ifiate mkondo wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.