Recent content by kishanda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

    Nimepata nilichokuwa nataka has a hapo kwenye alovela Mimi nilikuwa nakatia majani bila kupima maji sasa naona kuku wangu wanaishiwa nguvu na kufa ghafla.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiashiria cha pesa kupotea: BOT yashusha zaidi deposit ratio toka 9% hadi 7% kwa mabenki kunusuru ukata mifukoni

    Haya ni kawaida kwa mambo ya uchumi .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Mama asante maana hiyo itasaidia kuipunguzia serikali mzigo kwa asilimia fulani Mimi nipotayari kuchangia tukihamasishana tutajikomboa watoto wanalia .wakati wazazi wanawasomesha shule za kulipia walikuwa na kazi za kuajiriwa au kufanya bishara ndogondogo sasa aidha wamestafu au uzeee magonjwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tofauti kubwa ya mishahara Serikalini kukoma

    Hapa kazi tu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

    Tumsifu Yesu Kristu milele
  6. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    AMINA. arosa, post: 24007293, member: 284899"]fake hiyo, huyo siyo kupunga mkono leo wala kesho!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    hiyo kawaida kuweka msisitizo kwa kila mtu akiwa maeneo ya watu wanaofahamu hiyo lugha
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya yanunua kiwanda cha Tanzania

    kiwanda kinabaki hapa wanainject mtaji mambo yanakwenda .ndio mpango mzima.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Makonda awajibu mawaziri wanaohoji anatafuta nini

    penye riziki hapakosi fitina chapa kazi Mh tunaokaa dsm tunajua umuhimu wako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu

    Naomba wanaccm wote wavumilie furaha yao maana hali ilikuwa mbaya kweli sasa unachomokea kwenye tundu la sindano kweli lazima upagawe kwa eneo hilo wanapaswa. But u need to avoid excessive happness ili usipate matatizo mengine. Upo uwezekano ukumchagu au ulimchagua lakini kwa sasa ndiye na kama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu

    Kwa sasa tuwe kitu kimoja hadi wakati wa uchaguzi ujao. Kwa kipindi hiki tuungane tuitoe nchi kwenye mkwamo. Rais Magufuli sio mbaya ni mtu ambaye atatufisha pazuri sana japo kweli mfumo japokuwa ni kweli maumivi kuisha itachukua muda lakini tuvumilie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Tumuunge mkono Rais wetu katika kujenga Tanzania mpya
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Uchaguzi umepita aliyechagua mbunge bomu au Rais asiyeweza kumsaidia kifuatacho ni majuto na taabu nyingi. January karo za watoto na uandikishaji wa wanafunzi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Mke Wa Magufuli hapendi mme wake awe Rais wewe unataka awe Rais. Hivi anayemjua Magufuli zaidi ni wewe au mke wake? Mama Magufuli ameonyesha ishara mme wake hastahili kuwa Rais wa nchi hii
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wananiudhi wasiotaka kupiga kura 25/10/2015

    Jamani bila kupiga kura hakuna mabadiliko. Kama unaogopa nenda hata kwa mwenyekiti wa mtaa akupe ulinzi upige kura ni muhimu sana.
Back
Top Bottom