SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

Mungu akamilishe uponyaji wake sawasawa na sala za watanzania.
ili akitoa hoja zisizoeleweka tumpinge akiwa mzima amekamilika.
Hoja zipi zisizoeleweka ameshawahi kuzungumza? Zipi kuhusu ndege yetu, zipi kuhusu madininyetu, zipi kuhusu bonde la huko malawi , zipi kuhusu katiba mpya, zipi kuhusu muungno/kibanda maiti, zipi zile za kwenye mawio, zipi kuhusu Udicteta uchwara? Twambie hoja zipi zisizoeleweka alizowahi kusema lisu twambie nasi tukwambie, tena tutakwambia na maudhui yake kama hujazielewa upate kuelewa! Hakika ccm ni makuwadi wa soko huria. RIP mwal chachage
 
Back
Top Bottom