Wananiudhi wasiotaka kupiga kura 25/10/2015

lonyorengai

Member
Joined
May 12, 2008
Posts
71
Reaction score
35
Nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa hawatakwenda kupiga kura. Wanatoa sababu nyingi ikiwemo dhana kwamba kumpigia mtu kura ni kumpatia ulaji. Wengine wamejawa na hofu ya fujo kutokea siku ya uchaguzi hivyo kuchagua kubaki nyumbani. Kuna maneno yanaenezwa pia kuwa watu wanunue mahitaji ya kutosha ya chakula kwa wiki mbili kwa kuwa vurugu zitatawala baada ya uchaguzi.

Nitoe ushauri kwa watz wenzangu mjitokeze kupiga kura kwa wingi ili kuleta mabadiliko ktk taifa letu. Tuna wajibu wa kidemokrasia wa kuchagua viongozi kwa kupiga kura. Usikubali kutiwa hofu na wasioitakia mema nchi hii kwa vitisho vya vurugu au fujo siku hiyo. Hata hivyo, huu ni ushindani na hakuna kurudi nyuma hata tupige kura.

Wajibika kwa ajili ya taifa letu. Usiache viongozi dhalimu waendelee kuwepo baada ya uchaguzi huu. Chagua kwa usahihi uikomboe nchi yako kutoka kwa walanguzi.

Na Mungu awabariki nyote mtakaopiga kura.

Piga kura, chagua kiongozi bora.
 
Kweli mkuu. Ni "Malofa na Wapumbavu" tuu watakaokaa nyumbani!
 
Jamani bila kupiga kura hakuna mabadiliko. Kama unaogopa nenda hata kwa mwenyekiti wa mtaa akupe ulinzi upige kura ni muhimu sana.
 
Mkuu, Usiudhike wee weka dhamira yako nami ni mmoja asiye piga kura !! Huo ndo UHURU wangu.... FYI, Who is Who !??! "Maisha yapo na baada ya Uchaguzi Life will still go on......
kisu ...Mie ni ntabki nyumbani nitaamua la kufanya siku hiyo.....
kishanda ..MABADILIKO siyo bidhaa inayonunuliwa dukani au Mabadiliko siyo usemi au nyimbo..... "miaka 800 hatutabadilika"
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe sitapiga kura, wanaotarajia kushinda Magufuri&Lowassa ndio waliosababisha umaskini, et leo hii wanahubiri mabadiriko,Uongo wa mchana
 
We umenena yalio moyoni mwangu
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe sitapiga kura, wanaotarajia kushinda Magufuri&Lowassa ndio waliosababisha umaskini, et leo hii wanahubiri mabadiriko,Uongo wa mchana

Mkuu kama umeweza kufungua account ya hapa JF na ukaweza kupost, basi wewe ni kati ya watanzania wasiozidi asilimia 10 ambao taifa letu lunasema ndiyo wasomi!

Kama msomi ukikata tamaa kama unavyodai wewe basi hata watoto utakao wazaa watakuwa na kazi hiihii ya kuleta mabadiliko tena!
Hatujiitoi kupiga kura kwa ajili ya manufaa yetu tu bali pia kwa watoto wetu! Sawa sisi tunaumia na hatuoni mabadiliko tunayoyataka, lakini kunapotokea wakati kama huu wa kupaza sauti zetu kwamba tumechoka na mfumo huu kwa kupiga kira ya hapana! inatusoge mbelekuelekea mabadiliko ya kweli hatakama siyo kwa kipindi hiki kinachokuja!
Ni lazima tuanzie mahali fulani kutengeneza historia mpya ambayo pengine watakao faidi niwatoto wetu na wala siyo sisi!

Nakutakia tafakari njema, uuone umuhimu wa kupiga kura yako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom