Recent content by kishaba

  1. K

    AJALI: Gari aina ya Noah limepata ajali na kuua watu wilaya ya Rombo, Kilimanjaro

    Sijajua kw Sijajua kwanini Serikali imehalalisha Noah kubeba abiria kati ya Rombo na Moshi. Tunaomba Serikali msilifumbie macho hili
  2. K

    AJALI: Gari aina ya Noah limepata ajali na kuua watu wilaya ya Rombo, Kilimanjaro

    Duh poleni sana wafiwa na majeruhi. Jamani hivi Noha huwa zinakimbia Sanaa. Kweli ukiwa na Roho ndogo utaomba ushushwe
  3. K

    Tunalipishwa Tsh 200 kupanda Daraja la Ubungo (UDART), ili uweze kuvuka ng'ambo ya Barabara

    Hivi ushuru unaotozwa pale Ubungo unapoingia au kutoka ni wa nini. Kituo mvua ikinyesha hamna sehemu ya kujihifadhi. Miundombinu mibovu. Mheshimiwa Makonda tunaomba utupigie jicho pale Ubungo
  4. K

    Kampuni ya Huawei yaishtaki Samsung

    Hamna mtu anayecopy kama mchina
  5. K

    Wizi wa kutisha JNIA - tahadharini...

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa.
  6. K

    Ni nini kinaendelea stendi ya mawasiliano

    Hivi ile Barabara inayoingia stendi ilishatengenezwa
  7. K

    Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Rip Dr.Lema.Hana mtoto aliyesomea udokta akaisimamia hiyo Hospitali jamani
  8. K

    Askofu Malasusa: Ninayemtumikia anaujua ukweli!

    Wachagga tena wameingiaje hapo.Naona huwezi Fanya kitu bila kuwataja hawa watu
  9. K

    Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

    Pole.sasa kama kitu kidogo hivyo anavuta mdomo sipati picha.Maana mna safari ndefu katika hayo maisha yenu ya ndoa.kuna tatizo mahali.kaeni muwekane sawa
  10. K

    Msaada wa kuchukua fedha zangu NSSF

    Ungehama mfuko baada ya kuacha kazi
  11. K

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Hahahahaaaaaa.Hivi ulishaona waislamu walioendelea wanakaa chini na kutukana wakristu?Nakushangaa wewe umekalia kuwaita wenzako makafiri.Amka nenda kafanye kazi .Eti waislamu wakiamua kuhama TZ .Naona hapa zinatajwa shule za kikristu sijaona za kislamu zinatajwa
  12. K

    Moshi foleni ni noma

    Mshamba mwenyewe .Wewe kama huna pa kwenda na huna hela za kwenda kutumia si uwaache wenzako wakatumie.Wewe kwenda kwenu mpaka ulazimishwe.Waache wanaopenda kwao waende
  13. K

    Hatimae jackline wolper afunguka baada ya kubadili dini kwa mara ya pili na kuwa mkristo tena

    Nina mshkaji wangu kaoa binti wa kiislamu na huyo binti kabadili dini na kawa mkristu tunasali nae kanisani.Sasa huyu utasema alikua na njaa au
Back
Top Bottom