Askofu Malasusa: Ninayemtumikia anaujua ukweli!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,808
10,492
Askofu Dk G.Malasusa amesema ukweli wa kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii,anaujua Mungu anayemtumikia.Askofu amesema hayo leo alipokuwa anaweka jiwe la msingi la kanisala KKKT ,vertanary Jimbo la Kusini.
 
Si angekana kisha ndio akamuachia Mungu, Hata ikija kugundulika kuwa ni Kweli atasema ndio maana nilisema namuachia Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Fupe si ndio msaidizi wa Askofu?ila wanadamu jamani
Kampeni za Fupe kumtoa Malasusa zilianza siku nyingi kabla ya uchaguzi mkuu wa Dayosis. Akishirikiana na Rostam Aziz na Marehemu Mchungaji Mtikila pamoja na aliyekuwa mchungaji wa Magomeni Mviringo Mchungaji Mokola wamepiga kampeni chafu ya kikabila kumtoa Malasusa kihuni. Rostam anaingiaje??! Jambazi huyo alitoa kinanda cha 50M usharika wa Kinondoni. Mzee Sitta pamoja na kundi la wazee wa kanisa walipiga kelele ni kwanini 'fisadi' akubalike kanisani na zawadi yake. Malasusa aliposikia hilo aliamuru kinanda kirudishwe na fedha pia zirudishwe kwa Rostam. Pale ndipo ilipoanza 'vita'. Katika Ibada ya ufunguzi wa kanisa mitaa ya Kipawa karibu na uchaguzi mkuu, Askofu Malasusa bila kupepesa macho aliwachana mafisadi na ufisadi wao na kuwaambia waumini waliokuwepo pale kuwa wasiwachague na Mali zao hazihitajiki kanisani. Moto ukazidi...yapo maneno yanasemwa aliwekewa sumu kwenye sherehe nyingine iliyofuata baada ya hiyo na wasamaria wema wakamshtua akiwa kwenye foleni kwenda kujisevia. Wakati wote huo Fupe na kikundi chake cha wachungaji wapumbavu wa Kizaramo walishaanza fitna zao ili Malasusa akose Moral Authority kugombea. Wakitumia magazeti yaliyo chini ya Habari Corporation walimchafua sana Malasusa. Ieleweke kuwa Fupe alitaka sana kuwa Askofu ili airudishe dayosisi yao kama ilivyokuwa kwa Jerry Mungwamba. Aka-team up na Rostam kumwangusha Malasusa kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Bagamoyo. Ilitembea rushwa ya hatari wakati wa uchaguzi. Askofu Buberwa aliyealikwa kwenye uchaguzi huo kama Mwangalizi na Mwakilishi wa Mkuu wa Manisa alitoa speech iliyommaliza kabisa Fupe. Hatimaye Malasusa akashinda. Vita haijaisha hata baada ya Fupe kustaafu...
 
Si angekana kisha ndio akamuachia Mungu, Hata ikija kugundulika kuwa ni Kweli atasema ndio maana nilisema namuachia Mungu.
Sasa mnawachanganya mara Shoo mara Fupe. Kubeneatolar amegeuka kuwa Lucifer wa kanisa? Nawaonya hawa vijana. Mnatafuta njia ya kuwatoa watanzania Kwenye mambo ya msingi ya kuweka m mtazamo kwe siasa na uchumi / maendeleo ya nchi hii mnawaelekeza kanisani kkkt. Kanisa halitabommoka jipangeni upya.
 
Samahani mkuu kuna kitu sijaelewa, hivi askofu ana uwezo wa kuhukumu? Anaezaje kataa sadaka elihali hata kwenye Bible hamna sehem Yesu alikataa sadaka? Yeye ni nani kwenda kinyume na maandiko?

Askofu anaita watu mafisadi na kukataa sadaka zao, very strange. Malasusa yeye ni msafi? Sadaka kila siku mnachukua za majambazi, wauza vileo na madawa half Leo mnakataa kinanda?

My own conclusion. Malasusa nae ni wa kuombewa kwani ana majungu na mapungufu mengine mengi tu

Back
Top Bottom