Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 371
Kampuni ya teknolojia ya Huawei inaishtaki Samsung kuhusu madai kwamba haki zake zimekiukwa.
Kampuni hiyo ya China imesema kuwa inaishtaki Samsung kupitia mahakama mbili moja ikiwa California na nyingine ikiwa Shenzhen.
Kulingana na Huawei, simu zake kadhaa pamoja na programu zake ilizobuni zimetumiwa katika simu za Samsung bila ruhusa yake.
Samsung imeiambia BBC itatetea maslahi ya biashara zake.
Hata hivyo programu zinazodaiwa kuibwa na Samsung hazijatangazwa.