Moshi foleni ni noma

Moshi foleni ni noma

uru classic

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
120
Reaction score
15
idadi ya watu imekua kubwa masokoni mfano wa kariakoo.jam za magar barabarani ndo majanga kwel hi ndio december
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!
 
ikifika december topic ni wachaga tu, mmechoka na zitto sasa mmehamia kwa chaggaz
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!

Mshamba mwenyewe .Wewe kama huna pa kwenda na huna hela za kwenda kutumia si uwaache wenzako wakatumie.Wewe kwenda kwenu mpaka ulazimishwe.Waache wanaopenda kwao waende
 
Kwani MTU kwenda kwao ni ushamba?watu wanafanya kazi Kwa bidii mwaka mzm xaxa akienda wiki mbili kuungana na jamaa na marafiki ni ushamba?acheni wivu wa kishamba.wachaga wanaishi ktk utamaduni na mila zao tatizo liko wp hpo?wana nguvu ya uchumi na elimu huwezi shindana nao Kwa kupiga majungu humu JF!
 
Hiyo foleni iko wapi au barabara gani? Mbona mimi nipo hapa mjini sijaona foleni? Muachage kuanzisha thred tuu mradi mmeanzisha fyuuu!
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!

Nenda kwenu na wewe kwani umenyimwa mkuu?
 
Mshamba mwenyewe .Wewe kama huna pa kwenda na huna hela za kwenda kutumia si uwaache wenzako wakatumie.Wewe kwenda kwenu mpaka ulazimishwe.Waache wanaopenda kwao waende

Kama kwenda nyumbani kujumuika na ndugu ni ushamba basi wacha tuitwe washamba
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!

wewe siyo mzima kabisa na uko miongoni ya watu mliotelekeza wazazi wenu kijijini wakitahabika na kusaga meno uku nyie mkila bata mjini
 
wewe siyo mzima kabisa na uko miongoni ya watu mliotelekeza wazazi wenu kijijini wakitahabika na kusaga meno uku nyie mkila bata mjini

Baadhi yao wamefika Mjini na hawataki kurudi kwao, Ukitembelea Vijijini Mwao ni Wazee tu ndio wapo, Na hali ya Maisha hairidhishi, Kwa hio ni Vigumu kwenda kwao.
Upande wa Wachagga kwanza kabisa ni wazalendo kwa kupenda Mji wa Wazazi na kujenga nyumba za kisasa, Ambazo ni imara.
 
Wewe kwenda kwenu si unakwepa gharama? Nakushangaa wazazi na familia yako iko kijijini kwenu lakini huendi hata siku moja kuwasalimia. Mshamba wewe usiyejua ulikotokea.
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!

Mkuu siku hii bado unakaa nyangwa au ulihama?!
 
Back
Top Bottom