huyo ndiyo Rais wewe pinga sana lkn haitamuondolea status yake!! kazi kulalamika tu sijui mmelogwa na nani nyinyi!! mtu kaonyesha upendo ili mfano kwangu na kwako pia eti mnatokwa mapovu...!!
NYUMBU kweli kweli
Ndugu zangu poleni na majukumu ya kila siku,
Inasemekana kuwa mtoto mchanga anapodondokewa na kitovu chake wakati kinaelekea kupona huwa uwezo wake wa sehemu za siri umepotea tena, yaani hususani kwa mtoto wa kiume hawezi kusimamisha tena.
Hapa nazungumzia ile sehemu ya placenta ambayo...
Kuna watu kazi yao ni kukosoa kila kitu bila kutathimini vyema kauli za wahusika, Mheshimiwa alisema ndani ya kipindi cha awamu yake ya kwanza ya uongozi lkn mtu analazimisha ahadi itimie ndani ya miezi miwili!!!! kweli tuna safari ndefu ya kujikomboa kifikra kwa aina hii ya watu tuliopo!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.