Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

1481318330552.jpg
 
Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Unazijua Pressure Points Kwenye mwili wa binadamu ? Inaonekana wewe ndio muongo sababu unabisha kitu ambacho hujui! Tumia muda wako wa ziada kujisomea ili uelewe mambo.
 
Katika watu ambao huwa napata amani nikiwa waona ni firstlady wetu kipenzi mama Janeth . Ila Leo sijamuona uwanjani kitu ambacho kimenipa huzuni ya moyo.
Mwacheni apumzike.
Alikuwa kalazwa Muhimbili wiki chache zilizopita.
 
Hata wakati wa kampeni mlisema hivyo, sisi wasukuma kuongozana na mwanamke sio "issue" ila pia watu wengine "mitoko" sio muhimu sana.

Sijawahi kushiriki na staff wenzangu kwenye sherehe za mwaka mpya kitambo sasa japo huwa natoa michango, najisikia furaha sana kuwa nyumbani na wanangu, sijuhi ukilema huu unaweza kuwa pia anao first lady wetu?
 
Mnageuza jamvi hili la udaku. Ni first lady at the same time ni mke. Issue ya mke hiyo haituhusu.
 
Back
Top Bottom