Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,730
- 7,979
Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani?
1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh?
2. Ni nini na ni wapi Garaganze?
Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s.
1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh?
2. Ni nini na ni wapi Garaganze?
Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s.