Recent content by kisangant

  1. kisangant

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kuishi pamoja

    *MISINGI YA KUISHI PAMOJA:* [emoji1666] 1. Ukifika Sehemu...... *Salimia* 2. Ukiondoka Sehemu...... *Aga* 3. Ukisaidiwa..... *Shukuru* 4. Ukiahidi. *Tekeleza* 5. Ukikosea.... *Omba Msamaha* 6. Kama Hujaelewa..... *Uliza* 7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine* 8. Huna.... *Usione Donge* 9. Ukivunja...
  2. kisangant

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Manyara asili yao ni wapi?

    Asili ni Kushi na wanatambulika kama Kushiite, hao sio wabantu
  3. kisangant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    Kenya wametuburuza kwa miaka mingi, hata mlima Kilimanjaro wanasema upo kwao kule maerekani uwanja mmoja unamgahawa umeaandikwa Serengeti na kwanakwamba ipo kwao
  4. kisangant

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu EWURA na leseni kwa IPTL

    Waende wakafie mbali
  5. kisangant

    JamiiForums Tanzania Things women find unattractive in a man, especially No.1

    Attention: 10 things women find unattractive in a man, especially No.1 June 8, 2017 Old-eagle Guys spend a lot of time trying to figure out what attracts women. Unfortunately a lot of them are still confused about what characteristics the female gender find repulsive in men. You are more likely...
  6. kisangant

    JamiiForums Tanzania TRUE TOCHING LOVE

    HII NI NONDO KWA WANAUME Baada ya kupata ajali ya gari, na kutolewa jicho moja huku uso wake ukiwa umeharibika Anna aligopa hata kutoka nnje achilia mbali kutoka na mumewe kwenda sehemu za starehe. Mumewe alijaribu kumuonyesha mapenzi yote lakini bado Anna alikua na wasiwasi na mwili wake...
  7. kisangant

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi ya kuandika field report

    bosi nashida na mimi ya saple ya report kama unayo naomamba bosi wangu
  8. kisangant

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi ya kuandika field report

    mkuu unaweza nisaidi sample ya field report, p lease and please
  9. kisangant

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

    Hufanya hayo?
  10. kisangant

    JamiiForums Tanzania Wanaume we have to be humble kwa wake zetu

    Tuwapende WHAT A HUSBAND TOLD HIS WIFE THE NIGHT OF THEIR MARRIAGE/ WEDDING My wife, everyone has gone home. The music is quiet, the celebration is over. Our wedding was beautiful but it is now in the past. We have finished the wedding/marriage, it is now time to build our marriage. All that is...
  11. kisangant

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

    MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!! Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam. Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala hasa yale masaa 8 ambayo hupendekezwa na wataalam kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na...
  12. kisangant

    JamiiForums Tanzania Jipatie line za uwakala M-pesa, Tigopesa, Airtel money, uza vocha, luku, ving'amuzi kwa faida hadi 1

    Nitazipataje Nitazipataje hizo line mahitaji 0625694154 whatsup
Back
Top Bottom