Fafanua inakuwaje hizo huduma nyingine nje ya mpesa, tigo pesa.Huduma bado ipo
laini inakuwa imeunganishwa na huduma ya kuweza kuuza vocha, luku, ving'amuzi nk kwa faida ya hadi 15% kwa kila muamala utakaofanya, yaani kama ukiuza luku ya tsh10000 utapata elfu 1 kwny ac yako kama faida mdahuohuo.. Menu yake iko separate na ya uwakala wa mpesa, tgopesa.Fafanua inakuwaje hizo huduma nyingine nje ya mpesa, tigo pesa.