1.Kwani nchi ilikuwa nje ya mstari. 2.Unaweza mtaja aliyeendesha nchi hovyo hovyo.
3.unawezaeleza maana ya neno maarifa
4.unaweza eleza uhusiano baina ya uzi huu hapo juu na kukosa maarifa.
Kwa Mujibu wa Aliyeongoza Bunge siku hiyo RUSHWA kwake yeye sio Swala la KISERA. Kwa hiyo KIONGOZI yule wa BUNGE hakerwi na RUSHWA na ndio maana haoni kama ni suala la KISERA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.