Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Habari zilizotufikia toka Ikungi ni Kuwa u uongozi wa chadema Ikungi umejiuzuru sababu kuu ikitajwa ni kuminywa demokrasia na u dikteta wa Tundu na genge lake.
Wakati huo huo mwenyekiti na aliyekuwa mgombea u bunge Kwimba kufuatia kuminywa democrasia uchaguzi lake zone.
Hali hii ni Mbaya kwa kwa kyadema.
Wakati huo huo mwenyekiti na aliyekuwa mgombea u bunge Kwimba kufuatia kuminywa democrasia uchaguzi lake zone.
Hali hii ni Mbaya kwa kwa kyadema.