Mtoto akichunga Ng'ombe anakuwa Dikteta ukubwani

sio katika uongozi Tu hata ktk familiaa huwa wakali na wakatili hata kudunda wenzi wao wa ndoa
Hahahahaha. Kuna mchunga ng'ombe wa zamani alimdunga mkewe hadi akalazwa Muhimbili. Wambea hawakutwambia homa yake ila walikuwa wa kwanza kutujuza alipoingia, ward number na siku aliyotoka. Walipoacha kutwambia kilichomlaza mwenza huyo, tetesi zikatujia kuwa ni kichapo, tena baada ya bwana yuleee kunywa pombe.
 
hakika mchungaji mara nyingi ana elements za kutoambulika..japo siyo lazima kwa kila mtu achungae..kama ilivyokuwa kwa Daud..
 
Sijui dini yako, lakini kwa kukujibu Namrejea Mfalme Daud huyu alikuwa mchungaji: Soma hapa kidogo,
Who was King David?

He was the Last of the eight sons of Jesse, a shepherd that became one of the greatest kings of Israel. He was a man with a passionate love for God and for his people, called a man after God’s heart by God Himself (Acts 13:22). He was also a powerful warrior and a great psalmist. And he was an ancestor of Jesus Christ. King David’s story runs from 1 Samuel 16 through 1 Kings 2.

The two traits manifested by King David qualified him as the next king of Israel after King Saul. These qualities first established him as a successful shepherd and then king of Israel.

What are these leadership traits?

These qualities are integrity of heart and skillfulness of hands.

Integrity of heart means an honest heart, a heart that adheres to moral and ethical values. It means integrity, completeness, fullness, innocence, simplicity, uprightness, perfection – not in the sense of being flawless, but being matured and whole. There should be consistencies between what you say and who you are.

Skillfulness of hands means exercising an ability, coming from a deep knowledge and understanding of one’s work coupled with practice and aptitude, to do something well.

It is exhibiting competent excellence in everything you do.

These are essential qualities of a leader who wants to be celebrated. You need to be a person of integrity and a person that actually understands his work and does it excellently well.

King David was a moral and honest shepherd, and he also knew how to successful take care of his sheep and protect them. God saw how he led the sheep and promoted him to leading His people. And David led them likewise and God called him a man after His own heart.

You need to maintain your integrity of heart and consistently upgrade your skills. Skillfulness of hands is an important quality to be acquired, if you are to be successful in your field. God recognizes this fact and that was why He gave Bezaleel the son of Uri not just wisdom but also skill, to do the work that He had commanded- Exodus 31:2-5.

In conclusion, though David manifested some flaws like adultery, his leadership traits for success not only secured a throne in Israel for him but also made him an eternal celebrity. So, learn from King David and do likewise and you will soon be celebrated in your field.
Historia ya manabii wengi wamechunga mbuzi na kondoo Ibrahim, Muhammad(SAW), Daud, Suleman, Musa nk
--Ni kama vile mtihani wa kwanza kabla kupewa unabii/utume kuchunga na kuwaongoza binadamu ni kazi ngumu.
**kuchunga mbuzi ni kazi kubwa sana hasa ukizitambua tabia za mbuzi alivyo
-mtundu
-unapomuelekeza njia anakata kona.
-mbishi
-kumuongoza mbuzi(msafara wa mbuzi) bila kamba hata utumie fimbo ni shughuli kubwa.
-kumchunga mbuzi kunahitaji busara sana, bila hivyo utapata hasira tu.
 
Hahha mkuu umenichekesha sana, hasa hapo uliposema rafiki yako anageuza shingo kama wanavyofanya ng'ombe
 
Alikuwa na KARAMA za Mungu ambazo ni wateule wachache sana kama Daudi ndio wanazo. These are inborn qualities which are not taught or acquired in the cause of growing, I believe!
Mungu si ndio anatoa? Sio watu, watu wanashingo ngumu sana kuongozwa.
 
Dah, mwaka huu insha zimeandikwa za kutosha!! Kama ndoto zimemuweka mtu jela, nadhani hizi insha nazo zinaweza kumuweka mtu ndani!!
 
Endelea kutupia MAWE gizani wakiibuka kutoka huko sijui utakimbilia wapi
 
Ila kama kuna ka ukweli hivi ... kuna jamaa aliwahi sema wachinja ng'ombe nao ni wakatili .... madikteta.... yaani kuna mshikaji aliuwawa na mchinja ng'ombe kwa kisu kiulaini tu pale nyakato mza na ndo jamaa akatoa hiyo stori.... anadai wamezoea kuona damu......
 
Wanasaikolojia wana msemo kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa maana kwamba mtoto hujifunza vitu na tabia zilizopo ktk mazingira yanayomzunguka.

Mtoto anapokuwa anachunga ng'ombe hutoa makalipio kwa ng'ombe muda wote. Muda wote ana foka na kuwafokea ng'ombe. Mbinu za kiungozi anazojifunza mtoto huyu ni kufoka/kukalipia.

Na kwakuwa anafokea ng'ombe pasipo kushauriana mtu basi hujifunza kutopokea ama kukubali ushauri.

Mtoto akiwa mkubwa atakuwa na elements za udikiteta. Kwa maana kwamba akija kupata uongozi atakuwa mtoa amri na wa kufoka foka kama alivyokuwa akichunga ng'ombe.

Lakini pia atakuwa hapokei ushauri toka kwa mtu yeyote.

Nina ndgu yangu alichunga kwa miaka mingi basi mpaka kichwa hukigeuza kushoto na kulia kama afanyavyo ng'ombe.
Sio mchezo.
 
Sijui dini yako, lakini kwa kukujibu Namrejea Mfalme Daud huyu alikuwa mchungaji: Soma hapa kidogo,
Who was King David?

He was the Last of the eight sons of Jesse, a shepherd that became one of the greatest kings of Israel. He was a man with a passionate love for God and for his people, called a man after God’s heart by God Himself (Acts 13:22). He was also a powerful warrior and a great psalmist. And he was an ancestor of Jesus Christ. King David’s story runs from 1 Samuel 16 through 1 Kings 2.

The two traits manifested by King David qualified him as the next king of Israel after King Saul. These qualities first established him as a successful shepherd and then king of Israel.

What are these leadership traits?

These qualities are integrity of heart and skillfulness of hands.

Integrity of heart means an honest heart, a heart that adheres to moral and ethical values. It means integrity, completeness, fullness, innocence, simplicity, uprightness, perfection – not in the sense of being flawless, but being matured and whole. There should be consistencies between what you say and who you are.

Skillfulness of hands means exercising an ability, coming from a deep knowledge and understanding of one’s work coupled with practice and aptitude, to do something well.

It is exhibiting competent excellence in everything you do.

These are essential qualities of a leader who wants to be celebrated. You need to be a person of integrity and a person that actually understands his work and does it excellently well.

King David was a moral and honest shepherd, and he also knew how to successful take care of his sheep and protect them. God saw how he led the sheep and promoted him to leading His people. And David led them likewise and God called him a man after His own heart.

You need to maintain your integrity of heart and consistently upgrade your skills. Skillfulness of hands is an important quality to be acquired, if you are to be successful in your field. God recognizes this fact and that was why He gave Bezaleel the son of Uri not just wisdom but also skill, to do the work that He had commanded- Exodus 31:2-5.

In conclusion, though David manifested some flaws like adultery, his leadership traits for success not only secured a throne in Israel for him but also made him an eternal celebrity. So, learn from King David and do likewise and you will soon be celebrated in your field.
kumtolea mfano daudi na wachunga ng'ombe wa kizazi hiki ni kukufuru mungu ,mi naunga mkono hoja kwasababu hata Mimi nimechunga sana na ninatabia hizo mpk sasahivi
 
Nadhani hapa anaongelewa wa karne ya 21AD wewe unaleta wa karne ya 30BC. Kuna tafauti kubwa ya muda,nyakati, mazingira na hata msaada wa moja kwa moja toka kwa Mungu. Daudi alikuwa anaongea na Mungu directly so it was easy for him than the one we have Today!
 
Wanasaikolojia wana msemo kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa maana kwamba mtoto hujifunza vitu na tabia zilizopo ktk mazingira yanayomzunguka.

Mtoto anapokuwa anachunga ng'ombe hutoa makalipio kwa ng'ombe muda wote. Muda wote ana foka na kuwafokea ng'ombe. Mbinu za kiungozi anazojifunza mtoto huyu ni kufoka/kukalipia.

Na kwakuwa anafokea ng'ombe pasipo kushauriana mtu basi hujifunza kutopokea ama kukubali ushauri.

Mtoto akiwa mkubwa atakuwa na elements za udikiteta. Kwa maana kwamba akija kupata uongozi atakuwa mtoa amri na wa kufoka foka kama alivyokuwa akichunga ng'ombe.

Lakini pia atakuwa hapokei ushauri toka kwa mtu yeyote.

Nina ndgu yangu alichunga kwa miaka mingi basi mpaka kichwa hukigeuza kushoto na kulia kama afanyavyo ng'ombe.

Angalia angalia!, Ben hatujui aliko, bado we unaleta ngonjera kama alizoleta fb kumhusu bw mkulu! Samahani lakini!
 
Back
Top Bottom