Recent content by Kisali.TechnitianJr.

  1. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

    Tukubaliane kwamba watanzania tunathamini vigeni kuliko vya kwetu. Kama kanunua mashabiki? Basi ana pesa huyu jamaa. Kuponda watu tutaponda lakini tujifunze pia kuthamini vya kwetu hata vikiwa na kasoro zake. Leo muwekezaji wanamjali kuliko mzawa, laana hii inatutafuna kuanzia tabaka la chini...
  2. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Kwa mfanyakazi huyu wa TANESCO, ikatokea umeme umerudi ghafla inakuaje?

    Kabla ya kuanza kazi lazima umeme uzimwe substation na wanaofanya hiyo kazi ya kurekebisha hiyo line ndyo wanaowasiliana na watu wa substation ili kuzima umeme.
  3. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

    Cjui wamgu wasomi sana, naona wana status nzuri tu za kupendeza
  4. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mapenzi nchi za watu ni magumu

    Mi inaniuma kwa kweli.......
  5. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa staili hii, wanakera mno

    Pole jibaba.mimi sijui nikoje? Sipendi kumuuliza kichuna wangu kama ananipenda,asiponionyesha, nafanya maamuzi ya kumpotezea kwa amani tu.life goes on.
  6. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Umenena vyema mkuu. Huwa tunaanza overtaking about 50mts nyuma ya gari unayoi overtake
  7. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Iam new member in FB, my name saddy

    Huyu ni Mziwandastreet tena cyo nation
  8. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

    Unaongelea ukubwa wa nchi, silaha ama uwezo wa kikosi maalum in combat?
  9. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui atanidharau?

    Weka wazi mahusiano yako mkuu, atakaa mbali nawe.
  10. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Mkinyimwa Mnakuwa Wagwadu Mnooo? Cant you just appreciate what you cant have?

    Mmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh
  11. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Mtume Dunstan Maboya,kwanini hapendi Promo za TV?

    Huyu jamaa nampenda sana, ni askofu wa Calvary Assemblies of God Tanzania na yuko kule Sombetini Arusha katika kanisa lake liitwalo Jesus Power Mirracle Centre, CAG.
  12. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa baadhi ya wanaume wa kibongo upo kitandani

    Pole, mbona hujatembea na mimi? Ikawaje ukasema wote?
  13. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Samahani, hivi fork lift ni gari?
  14. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Tanzania Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    How correct are you pal? Unajia nn kuhusu abs technology? Nadhani katika usemalo ni uwezo wa dereva kuendesha na kujua gari yake tu.....
  15. Kisali.TechnitianJr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la pin kwenye tecno H6, naomba msaada

    Jamii forums iko na washamba wengi kuliko motto wa JF yenyewe.
Back
Top Bottom