Sijui atanidharau?

Sijui atanidharau?

Tatizo ni kuwa mm ninamchumba na nampenda sana

Hebu fanya mpango umpigie simu huyo mchumba wako halafu umuombe ushauri...

Atakachokushauri hata mimi nitakushauri hivyo hivyo....
 
Mheshimu anauekuheshimu huyo mchumbaako km anakupenda na kuku hashimu huna bud kumrudishia heshma na upendo anaokupa
 
dah ss si unamega kisela tu heshima ya kiume iwepo?mkimaliza chuo hatokung`ang`ania coz hamtoonana mara kwa mara..kuwa mwepes mkuu
 
mnyalu uko sahihi kiukweli tangu first year huyo ndo demu wakwanza kuwa karbu nae na ndo maana ananiulza,hivi huwa unatongoza?
 
Piga then unakimbia fasta ulinde heshima yako
 
kitu kidogo hivyo unashindwa kukitolea uamuzi????????
 
capt memo,kama unaitikadi yoyote, chama chako cha siasa ni kile cha waropokaji
 
We piga tu baada ya mwezi utasikia nina mimba yako ndo utajuta
 
asanteni kwa ushari wenu. palipo na wengi pana mengi,nimechukua yale yanayonifaa nakuacha yale yasiyofaa.kama binadamu ninayo madhaifu yangu hata kama wengine walishangaa kuona naomba ushari kwa kitu kidogo kama hicho kulingana na elimu yangu.hata hvyo kupitia matumizi ya lugha za wachangiaji nimepata jumbe nadhubuti.asanteni
 
Back
Top Bottom