Recent content by KisakoKivuyo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako ni members gani humu JF ambao mara baada tu ya...!

    1. Gentamycine
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    punguza kusema ukweli. watu watakuchukia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

    siko team yoyote lakini Diamond is soooooo well ahead it doesn't worth arguing.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    tunataka kiongozi shupavu mwenye maamuzi magumu na sahihi. huyo hawezi kuwa mwingine zaidi ya Lowassa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    acha pumba. Lowassa is our President
  6. K

    JamiiForums Tanzania CISA certification

    vipi kwa wa mikoani kama Arusha..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

    nimesikia tetesi kwamba supu ya pweza inatengenezwa kwa kuchanganywa na Viagra.. sina uhakika japo inawezekana pia ili kuchochea biashara
  8. K

    JamiiForums Tanzania Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

    Arusha tulikuwa tunakula mkongoraa utotoni kwa imani kwamba mb** itakuwa kubwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    kweli Yanga yangu timu yangu kipenzi changu kimepoteza mvuto moyoni wangu.. huyu Said Juma kasajiliwa lini jamani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

    Lowassa ndo tumtakaye watanzania
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kisonono baridi ni nini?

    majibu wandugu.. kisonono baridi ni nini?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kisonono baridi ni nini?

    uko sahihi kuhisi. inawezekana pameninukia na hali si hali ndugu yangu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kisonono baridi ni nini?

    na hii dormant syphilis inatibiwaje? na kwanini isiitwe dormant gonorrhea?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kisonono baridi ni nini?

    Dormant syphilis!!? syphilis ni kaswende lakini!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kisonono baridi ni nini?

    naomba kufahamishwa kisonono baridi ni nini kwasababu ukipita mitaani mabanda mengi ya Dawa za asili yanaorodhesha kisonono baridi kama miongoni mwa magonjwa wanayotibu. Hiki kisonono baridi kinasababishwa na nini, madhara yake ni nini na kwanini kinafahamika na tiba asili zaidi kuliko tiba rasmi?
Back
Top Bottom