Recent content by kisaka victpr

  1. K

    CCM haibomoi ila Wizara ya Ardhi

    daah kweli akili kumkichwa,basi hiyo serikali ni ya UKAWA siyo CCM!
  2. K

    Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

    Katoa hela ya mkopo kwa hospital na elimu kwa watoto
  3. K

    DART: Anzeni kutoa elimu ya matumizi ya usafiri wenu

    Kazi yakuzuia demokrasia Zenj nakuwabolea wanyonge vibanda vyao kwa makosa ya watendai?
  4. K

    DART: Anzeni kutoa elimu ya matumizi ya usafiri wenu

    CCM ni ileile,hata waje na ubunifu usiokuwa na mvuto.Maamuzi mengine duu!
  5. K

    DART: Anzeni kutoa elimu ya matumizi ya usafiri wenu

    Si walikuwa wanaimba sijui kuisoma namba,watajijua wenyewe!Kuingiliwa uhuru binafsi ndo namba zenyewe,wasilalamike.
  6. K

    Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    Misingi yake ipi na ilisimamiwa chini ya nani na wakati gani?Freeman amewapeleka sn CCM na lazima mkubali.
  7. K

    Amoni Mpanju keshazawadiwa, bado Polepole naye atazawadiwa

    kwa CCM kisichotarajiwa kwa akili hata za kawaida ndicho hufanywa!
  8. K

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    jaribu kuficha ujinga wako wakati mwingine!
  9. K

    maneno wanayosema mademu: hii ni kwa wanaume tu!!!!!

    naniliu yako umeiwekea dawa nini?
  10. K

    Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

    ameanza na fedha za uchina na ufisadi.
  11. K

    Halima Abdallah Bulembo, Mbunge mdogo kuliko wote Bunge la kumi na moja!

    Acha uongo dada yake Lissu(christina) hajapata ubunge kipindi hiki.
  12. K

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Nawaona pro-Lumumba humu ndo wanapinga maamuzi ya namna ya kuisoma namba.Ni maamuzi mazuri yakukata dili za wanagreen lakini kikubwa Magu anachoficha nikuwa hazina iko tupu!
  13. K

    Wapi waliosoma Mawenzi sec(Moshi).miaka ya 1980's-1990's?

    Hasa watu wa hostel.Mabweni ya Mawenzi,Shira,kibo na Meru.Wapi kidarafa,Mwambalila,ErastoTembo nk.Mnamkumbuka boarding master(metal work)jamaa alikuwa mwizi balaa,mwl.Tovu,Bwiru,mama Mmbaga english.Tifu la kolila sec wakati wa mechi.Tukumbushane.
Back
Top Bottom